Wakuu mashindano hayo makubwa barani Afrika yanaanza leo huko Moroko.
Sijaona amsha amsha yoyote kama ilivyokuwa kwenye AFCON.
JE Tanzania haishiriki?
Na kama inashiriki, ni michezo gani? Tunawakilishwa na timu ya watu wangapi? Katika hao viongozi ni wangapi? Naomba kujuzwa.