All African games 2019 inaanza leo Moroko

All African games 2019 inaanza leo Moroko

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,832
Wakuu mashindano hayo makubwa barani Afrika yanaanza leo huko Moroko.
Sijaona amsha amsha yoyote kama ilivyokuwa kwenye AFCON.
JE Tanzania haishiriki?
Na kama inashiriki, ni michezo gani? Tunawakilishwa na timu ya watu wangapi? Katika hao viongozi ni wangapi? Naomba kujuzwa.
 
Mashindano haya hufanyika kila baada ya miaka minne kama ilivyo Olimpik na hujumuisha michezo mingi kwa nchi zote za Afrika.
Sijasikia chochote kuhusu ushiriki wetu, ndio maana nauliza.
 
Nimesikia kipindi cha michezo BBC asubuhi, Tanzania haijapata hata medali moja Moroko. Sijasikia chochote kwenye vyombo vyetu vya habari.
Tumekwama wapi?
Mtukufu mkuu wa mkoa kiongozi hajajua kama Tanzania inashiriki?
 
Kuna vitu kuifuatilia TZ ikishiriki ni kupoteza muda...michezo ni moja ya vitu hivyo
 
Back
Top Bottom