All bank accounts with no monthly charges in Tanzania (Akaunti zote zisizo na makato ya mwezi Tanzania)

Crdb wananikata makato kila mwezi. Daah.
Unamiliki akaunti ya aina gani CRDB mpaka wanakukata?
Inatakiwa uwe makini kuchagua bank account, kuna makato mawili ambayo unatakiwa uyajue, monthly charges na minimum balance for maintaining account, kwenye hayo makato, akaunti inakuwa bure 100% kama yote ni free, lakini kama mojawapo siyo free, basi akaunti utakayo miliki lazima itakuwa na makato kwa mwezi.
Makato mengine siyo ya lazima lakini ni ya hiyari, makato ambayo siyo ya lazima ni ATM drawing fee, cheque fee, statement fee n.k.
Kwahiyo unapotaka kumiliki akaunti, angalia specifications za hiyo account, iwe na free monthly charges na iwe na no minimum balance for maintaining account.
 
Asante bro.
Ngoja nifuatilie
 
Hii wisdom (retired) account nilikuwa kwa kweli siijui nataka niwe naweka hella hata kama ni bukubuku hakuna kutoa mpaka nitakapojistaafisha
 
Yeah mtoto account na chipukizi account zinafanana... Ila tofauti yake chipukizi account inafunguliwa kwa mtoto kuanzia miaka 13 hadi miaka 17... Na inafunguliwa kwa Tsh. 2,000 na mtoto anapata ATM CARD ambayo inamwezesha kutoa mpaka Tsh. 50,000 kwa siku kwenye ATM
 
Ndugu Mteja - Kuanzia tarehe 1 Julai 2018 tutaanza kutoza gharama kwa baadhi ya miamala ya AccessMobile. Kwa maelezo zaidi 0659074000 au fika katika tawi letu.
Access Bank wamenitumia hio SMS jana
 
Ndugu Mteja - Kuanzia tarehe 1 Julai 2018 tutaanza kutoza gharama kwa baadhi ya miamala ya AccessMobile. Kwa maelezo zaidi 0659074000 au fika katika tawi letu.
Access Bank wamenitumia hio SMS jana
Kila mwaka, mwezi julai tarehe 1, ni mwaka mpya wa mabadiliko ya kiserikali. Kampuni binafsi na za serikali zinaboresha shughuli mbalimbali za uchumi. Ndiyo maana ukatumiwa hiyo meseji na AccessBank inayohusu kuanza kutozwa gharama kwenye AccessMobile.
Ni afadhali mabenki yawachaji wateja sehemu zote, ila wasiwachaji wateja sehemu mbili, monthly charges na minimum balance for maintaining account, wakichaji sehemu mojawapo kati ya hizo mbili, akaunti husika inakuwa siyo free tena.
 
Wisdom account inafunguliwa kwa mstaafu.... Maana moja ya mahitaji yake ni kitambulisho cha mstaafu au barua ya kustaafu
Mkuu, hayo maelezo sahihi umeyatoa kwenye official web ya NMB, kwa sababu unaweza kuangalia maelezo kwenye official sites mbalimbali, tusaidie kupata maelezo ya akaunti za mabenki yaliyobaki hapo juu kwa faida ya wote.
 
hivi kati ya Equity na DTB nani amesambaa zaidi nchini?
na akaunti zote za Equity unapewa Mastercard ama?
 
🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…