All bank accounts with no monthly charges in Tanzania (Akaunti zote zisizo na makato ya mwezi Tanzania)

All bank accounts with no monthly charges in Tanzania (Akaunti zote zisizo na makato ya mwezi Tanzania)

Mteja wa DTB anipe uzoefu wa hizo akaunti hasa hiyo Value a/c
 
Nasikia Equity wana makato siku hizi....ni kweli?
 
Ndiyo, inawezekana kubadili akaunti moja kwenda nyingine, kuna njia nyingi za kubadili akaunti moja kwenda nyingine, nitataja ambazo nina uhakika nazo:
1: Toa pesa zote kwenye akaunti usiyoitaka, ifunge hiyo akaunti, fungua nyingine.
2: Ongea na benki, waambie nabadilisha akaunti.
Wajuzi wataongezea njia nyingine.
Kufunga account unalipia nasikia, nipe maelezo zaidi apa
 
Chanzo cha data hizi ni kwenye official website ya benki husika, benki nyingine hazijawekwa sababu hazijaweka taarifa za akaunti kwenye website zao.
Kama unataka kufungua akaunti mpya kwa kutumia reference ya huu uzi, ukishaipoint akaunti ya benki unayoitaka, nenda kwenye webiste ya benki husika, halafu jiridhishe kwa kuangalia maelezo zaidi ya hiyo akaunti.

Zifuatazo ni benki ambazo hawajaweka taarifa za akaunti kwenye website zao:

Kenya Commercial Bank (KCB), Bank Of Africa (BOA), United Bank Of Africa (UBA), Commercial Bank Of Africa (CBA), First National Bank (FNB), Akiba Commercial Bank (ACB), Ecobank, Citibank, Mkombozi Commercial Bank (MKCB), Exim, Stanbic, FBME (No longer available in TZ), Guaranty Trust Bank (GTBank), Habib African Bank, I&M Bank, International Commercial Bank (ICB), National Industrial and Commercial Bank (NIC), People's Bank of Zanzibar (PBZ)
, United Bank Limited (UBL), TIB Development Bank, First Housing Finance, Letshego, Amana, Azania, Bank M, Bank of Baroda, Bank Of India.

Zifuatazo ni akaunti ambazo hazina makato kwa mwezi:

CRDB
-Junior Jumbo (Children)
-Dhahabu (Current/Fixed/Saving) (No ATM card)
-Niamoja (Groups)

NMB
-Wisdom (Retired)
-Chipukizi (Children)
-Chap Chap (Current/Fixed/Saving)

NBC
-Kikundi (Group)
-Malengo Savings (Current/Fixed/Saving)
-Pure Save (Current/Fixed/Saving)
-Chanua Savings (Children)

DTB
-Value (Current/Fixed/Saving) (No cheque)
-Super Salary (Group)
-Super Value (Current/Fixed/Saving)
-Premium Savings (Current/Fixed/Saving)
-Kisomi (Students) -Amani (Women)
-Faraja (Elders)

Barclays
-Student (Students)
-Bonus Savings (Current/Fixed/Saving)
-Junior Eagle (Children)

BancABC
-Mwangaza Junior (Children)
-Jiongeze Current (Current/Fixed/Saving)
-Fahari Savings (Family)

Equity
-Current (Current/Fixed/Saving)
-Equity Pensioner's (Elders)
-Jijenge (Current/Fixed/Saving)

Standard Chartered
-Hifadhi (Current/Fixed/Saving)
-Tajirika Savings (Current/Fixed/Saving) (No ATM card)
-Tajirika Junior Savings (Children) (No ATM card)

AccessBank
-Elimu (Students)
-Mikakati (Current/Fixed/Saving)

Dar Es Salaam Commercial Bank (DCB)
-Student Saving (Students)
-Young Saver (Children)

Mwalimu Commercial Bank (MCB)
-Mtoto (Children)

Tanzania Postal Bank (TPB)
-Minor (Children)

FINCA Microfinance Bank
-Hakika (Current/Fixed/Saving)
-Mipango (Current/Fixed/Saving)
Uongo, standard chartered curr.ac. yangu ya hifadhi kwa mwezi 8500 iv.
 
Hivi mfano hio dhahabu bank ya Crdb kiwango cha juu cha kuhifadhi pesa ni kipi
 
Back
Top Bottom