All in all mahusiano ni magumu

All in all mahusiano ni magumu

Maisha kwa ujumla ni magumu.
Imagine tu

Huna Hela ya kutosha kufurahia maisha.
Mahusiano nayo hayaeleweki..
Huku Ndugu lawama kibao.. wanaona unazingua.
Kazi unafanya kusogeza tu siku maana hela unayoipata ni ya kula tu na kufanya vitu muhimu..

Wachache sana Maisha yamewanyookea na Ni jambo la Kumshukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom