All in one HP Envy 20TB plus 2TB SSD inauzwa

All in one HP Envy 20TB plus 2TB SSD inauzwa

Na 600k hasa ndo bei yake ikipanda sana kulingama na hizo specification bhasi hata 800k au 900k
nikikuomba unitafutie mashine hiii kwa 600k utaweza Mkuu?

Nikupe hiyo Homework tu,ukiweza nakuuzia hii.
 
4 USB PORTS 3.1

HDMI IN 2.0
HDMI OUT 2.0
RJ 45 PORT
 
WebCam : HP TRUEVISION FHD IR camera with Dual Array digital microphone.
 
Mwenye Uhitaji wa Hii Machine Muda wa kuimiliki ni sasa.
 
Mfanyabiashara unaweza ukanunua Complete SET kisha ukatoa ukauza Storage zako 1 baada ya Nyingine Faida ni Mara Mbili ya Pesa Utakayonunulia.

Binafsi nauza kwa sababu ya Changamoto or else nisingeuza kwa Bei hiii...
 
Weka tu picha zake halisi...wateja waione
 
ALL in ONE Desktop Computer still Available.
 
Dell Inspiron
Core i3 11th Gen
RAM 4GB
HDD 1TB
Display 15'5
Bluetooth
Battery 6cells 5+ runnin hrs
Tutawasiliana Siku nikiwa Home Uje tuzikague physicaly, maana mashine ni ilikua for Home USE na mimi Day time nakua Kazini Full Time. Mpk 5 Usiku.
 
Siku Nyingine Tena

Wakati Mwingine Tena
 
Back
Top Bottom