Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida inayofanya hii mashine iwe gharama ni hiyo SSD 2TB.. mtu akiniambia tu bei pungufu huwa naona bado hajajua utamu wa mashine za SSD.
Gharama tu ya SSD 2TB ukiachana na specs zingine zote Ram na other storage hii bei ni fair mno kwa mjuzi wa mashine.
nina pc macbook pro 2011 i5 ram 6gb hdd 300gb bettry 2:30h keyboard backlight vp tunaweza kuingia makubaliano kibiashara kama inalipa unanipangiliajeKama italipa nini mkuu?
Hebu weka maneno sawa kwa sababu kama PC uliyonayo ipo kama kwa hizo picha umeshare ambayo ni HP Envy 27-b255qd, then specs zake zinaonesha ina hard disk drive na solid state drive kwamba, 2T ni HDD na SSD ni 256GB
Computer ya HP all in one inauzwa ina internal Storage ya SSD 2TB na EXTERNAL STORAGE ya 18TB.
Soma hii line yangu hapa ya kwanza uielewe vizuri na uniambie kama ni wapi pametofautiana na ulichoandika wewe hapo juu
Kuna ambapo hujaelewa mpaka sasa bwana Watu8 ??? kama kupo karibu kwa maswali.
inayouzwa ni PC ya mtandaoni au inauzwa PC personal niliyonayo mkuu?Katika maelezo yako umeandika hiyo PC uko nayo SSD storage capacity ni 2T(internal) na 18T(external) ...
Specs zake mtandaoni zinaonesha internal storage ni hybrid ya hard na solid, ambapo hdd ni 2T na ssd ni 256GB...
Ina maana kwenye maelezo haya huoni utofauti mzeiya?
Kushuka naweza mkuu ila nikishuka nashuka na hizo specification
yani nashuka na storage nashuka na RAM nashuka navyo vyote tunaishia kufanya
biashara ya Mashine tu ikiwa na low storage,Low Memory, And everything.
Machine as a machine, welcome inbox... storage zangu nabaki nazo
How?!