All is ready for Kenya Airways' charter flight to the United States

Kuna watu humu waliokuwa wanasema KQ itaenda US "2016". Nikawaambia hii bado sana, nadhani sasa mmeniamini.

BTW nimepoke salamu ticket are not selling as they anticipated mpaka Uhuru kaamua kuongeza nguvu.
 
Haa, i thought mlishaanza. Kumbe bado.
Hongereni.
 
Kuna watu humu waliokuwa wanasema KQ itaenda US "2016". Nikawaambia hii bado sana, nadhani sasa mmeniamini.

BTW nimepoke salamu ticket are not selling as they anticipated mpaka Uhuru kaamua kuongeza nguvu.
😀😀😀wivu ni mbaya sana...anyway, kwa watz wanaotaka kwenda marekani bila kupitia europe au middle east sasa wana nafasi...watalii wa Marekani wanaoelekea tz, rwanda, uganda na kadhalika sasa wana nafasi ya kuja moja kwa moja bila ya kuunganisha ulaya au middle east...that is what we call development
 
Hongera majirani, jarani akifanya vizuri mpongeze na sisi ATCL... Mtuomber
Hapo kweli mkuu!. Huwa ni matani tuu huwa twataniana. Bila Shaka nanyi mtaweza tuu majaliwa, ni kwa bidii tu.
 
😀😀😀wivu ni mbaya sana...anyway, kwa watz wanaotaka kwenda marekani bila kupitia europe au middle east sasa wana nafasi...watalii wa Marekani wanaoelekea tz, rwanda, uganda na kadhalika sasa wana nafasi ya kuja moja kwa moja bila ya kuunganisha ulaya au middle east...that is what we call development
Safi sana!. Let's see how it plays out going forward. The future looks bright. This could be a jackpot in the making.
 
Marekani tutasijaaa

Wapi wadau wa US baby na ile dirimliner yao inapiga ruti za daladala, hivi limepakiwa wapi tangu ile siku lilijazwa makada wa chama.
 
Hongera Kenya kwa kuisogeza EAC karibu na North America.
 
Hii ni jambo nzuri sana for East Africa kwa jumla. Majirani wetu wamejaa wivu instead ya kuona vile wanaweza faidika kutokana na jambo hili
 
Back
Top Bottom