Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀wivu ni mbaya sana...anyway, kwa watz wanaotaka kwenda marekani bila kupitia europe au middle east sasa wana nafasi...watalii wa Marekani wanaoelekea tz, rwanda, uganda na kadhalika sasa wana nafasi ya kuja moja kwa moja bila ya kuunganisha ulaya au middle east...that is what we call developmentKuna watu humu waliokuwa wanasema KQ itaenda US "2016". Nikawaambia hii bado sana, nadhani sasa mmeniamini.
BTW nimepoke salamu ticket are not selling as they anticipated mpaka Uhuru kaamua kuongeza nguvu.
Hapo kweli mkuu!. Huwa ni matani tuu huwa twataniana. Bila Shaka nanyi mtaweza tuu majaliwa, ni kwa bidii tu.Hongera majirani, jarani akifanya vizuri mpongeze na sisi ATCL... Mtuomber
Safi sana!. Let's see how it plays out going forward. The future looks bright. This could be a jackpot in the making.😀😀😀wivu ni mbaya sana...anyway, kwa watz wanaotaka kwenda marekani bila kupitia europe au middle east sasa wana nafasi...watalii wa Marekani wanaoelekea tz, rwanda, uganda na kadhalika sasa wana nafasi ya kuja moja kwa moja bila ya kuunganisha ulaya au middle east...that is what we call development