All is set for Somalia to join the EAC

hii itakua makosa makubwa sana...Somali haifai kukubaliwa hata iwe nchi sembuse mwanachama wa EAC....alshabaab watakuwa wakisafiri kana kwamba ukanda huu ni wao...
Ebu imagine Shabab wakiingia Kenya visa free.....haha mtakoma! Ila nyie tayari mna wasomali wengi sijui kwa nini unalalamika. Sisi ndio tunaopaswa kuwa na wasiwasi.
 
hii hatari sana maana yake somalia watakuwa wakiingia nchi zetu bila visa na vibali dah hatari
Kama ni usomali ndo unauogopa, tuulize sisi ambao tuna wananchi wenzetu ambao ni wasomali. Hawa jamaa kwenye biashara ni hatar! Ukipatana na msomali, sanasana ambaye ni mkenya, ndugu yangu utakubali! Nyangau Reloaded! Mtaliwa hadi basi. 😀 B.t.w. mtu asithubutu kuiba jina hilo la 'Nyanga'u Reloaded'! Ntakapo pigwa ban yangu ya kwanza hiyo ndo ntaibuka nayo kama username yangu ya pili! 🙂
 
Ebu imagine Shabab wakiingia Kenya visa free.....haha mtakoma! Ila nyie tayari mna wasomali wengi sijui kwa nini unalalamika. Sisi ndio tunaopaswa kuwa na wasiwasi.
nazugumza kwa niaba ya EAC nzima....magaidi wa somalia hawafai kamwe kupenyeza mpaka tz, ug na rwanda...magaidi wakija tz, kenya pia tunaumia.....afadhali wasomali wabaki tu somalia na sehemu za eastern kenya...
 
We acha bana! Wasomali wakienda watulie sehemu fulani huwa hawana ishu yeyote. Wanapiga biashara zao tu, basi. Gaidi ni gaidi tu, wasomali wengi hawakubali hayo mambo!
 
nazugumza kwa niaba ya EAC nzima....magaidi wa somalia hawafai kamwe kupenyeza mpaka tz, ug na rwanda...magaidi wakija tz, kenya pia tunaumia.....afadhali wasomali wabaki tu somalia na sehemu za eastern kenya...
Sababu nyinyi mnaichukia TZ na kudharau kuwa ni Nchi hafifu mlengo wa LDC si basi vyema TZ watoke EAC Somali waingie..Si wasomali ni wangwana sana na hawana chuki kama TZ? ama namna gani my frens?
 
Sababu nyinyi mnaichukia TZ na kudharau kuwa ni Nchi hafifu mlengo wa LDC si basi vyema TZ watoke EAC Somali waingie..Si wasomali ni wangwana sana na hawana chuki kama TZ? ama namna gani my frens?
kwanza kwann wanafunga Daadab camp? makes no sense kwavile somalia as a member of EAC will be allowed free movement!
 
Eti Daadab inafungwa? Naona umerudi kwenye ule uongo wako wa kawaida.

The Dadaab refugee camp is home to thousands of refugees, most of whom have spent half of their lives in the world’s biggest refugee camp. Since the Kenyan government announced its plans to shut down the camp, several refugees have voluntarily exited, threatening to leave the camp isolated. As ktn news found out activities at the camp are gradually weakening
Dadaab Closure: Effects of repatriation felt at Dadaab,education and health among services affected
 
Somali inatambulika kama nchi korofi duniani kama mnataka kukinukisha endeleeni tu
 
Plans to close the camp were suspended. Giving way to voluntary repartriation. Nothing is new in that arena.
 
Akili zile zile ndizo unazileta hapa, japo wewe sitokuita mpumbavu kwasababu ninakuheshimu, ila nitakuita mjinga, mjinga ni mtu anayetaka kuelimishwa na ukimuelimisha huwa anaelewa.

Huyo jamaa yako ni boya sana, mimi nimemueleza kuhusu serikali ya Kenya kutojihusisha na kuzisaidia nchi za kusini mwa Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa nchi hizo, yeye ananiletea habari za Mau Mau, huoni kwqmbw huyo mtu ni chizi?, kwani sisi huku hatukuwa na Majimaji, au vita vya wajerumani na Mkwawa, hivyo havikuwa vita chini ya serikali za Kenya wala Tanzania.

Serikali za nchi hizi zilianzia baada ya independence, kuanzia hapo ndiyo unaweza kulaumu serikali husika, ila kama Kenya haikusaidia nchi za Afrika kati ya 1950 hadi 1963, utalaumu vipi serikali ya sasa ya Kenya wakati kipindi hicho watawala bado walikuwa wazungu?
 
Kumbe kusaidia ndo kupeana uhuru? Haya basi, mbona sasa hivi wao pia hawawasaidi kupata uhuru wenu wa kichumi na kimaendeleo? Yaani wamewatupa kuule, sasa hivi wanapaa wakiwa pekee yao. Au usaidizi mlowapa hawakuwa wanauhitaji sana?
Ukisaidia kwa matumaini ya kulipwa, huo sio msaada bali unafanya biashara, sisi sio manyang'au.
 
Tz imekuwa LDC since independence...Hahahaha.
 
Nasubiri siku Nigeria ijiunge EAC.
Somalia ilitakiwa ijiunge na nchi za pembe ya Afrika kama Djibout, Ethiopia, Eritrea etc.
EAC ishapoteza lengo. Tunabeba kila anayejileta.
 
Sababu nyinyi mnaichukia TZ na kudharau kuwa ni Nchi hafifu mlengo wa LDC si basi vyema TZ watoke EAC Somali waingie..Si wasomali ni wangwana sana na hawana chuki kama TZ? ama namna gani my frens?
yap..tunaidharau tz sana...it is an LDC country and it is underdeveloped and backward but it is way better than Somalia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…