Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
- Thread starter
- #101
Ebu imagine Shabab wakiingia Kenya visa free.....haha mtakoma! Ila nyie tayari mna wasomali wengi sijui kwa nini unalalamika. Sisi ndio tunaopaswa kuwa na wasiwasi.hii itakua makosa makubwa sana...Somali haifai kukubaliwa hata iwe nchi sembuse mwanachama wa EAC....alshabaab watakuwa wakisafiri kana kwamba ukanda huu ni wao...