Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
- Thread starter
-
- #21
You must speak your own English, reason to call it the queen language 😀😀😀, but those who know English understood like my English wife.Nimejaribu kusoma bango hili likiwa katika lugha ya Kiingereza kwa umakini sana, lakini SIKUMUELEWA mleta bango kutokana na lugha ilivyo changanywa! Admittedly, nakiri kutokuelewa kinachokusudiwa ingawa naifahamu fluentlly lugha hii ya Queen! I am sorry for this!
Umefanya la maana sana kuandika kiswahil maana dah! Wengine siye luga gongana tu.Unaweza kunijibu kirahisi: taja mwanasayansi mmoja anayesema "dunia iliumbwa", au spishi iliumbwa" (quote a scientist world or any living being was "created"). tafadhali nukuu safi, pamoja na jina, tarehe, na mahali ulipoikuta!
Menginevyo: kuhusu historia ya lugha kuna bado nafasi ya kujifunza. "English was made before Whites knew religion" - taja mwaka au karne!
Nina kuambia si kweli. Kiingereza kilianza baada ya mwaka 1200 hivi, wakati Uingereza tayari nchi ya Ukristo.
Hapakuwa na Kiingereza kabla. Hadi 19066 watu pale Welisi na Uskoti walisema Kikelti, wengi Uingereza penyewe walisema Kianglo-Saksoni, watu kadhaa upande wa mashariki wa kisiwa walisema Kidenmark...
1066 Wanormandi walivamia, na kuleta namna yao ya kifaransa. Kutokana na mchanganyiko wa Kianglo-Saksoni na Kifaransa, lugha ya Kiingereza kilizaliwa. Hujajua?
Nimemwambia lakini akasema kuwa hicho Kiingereza MKEWE anakielewa! Sasa kwa nini kakiandika humu? Hata hivyo hatuna budi kuchukuliana naye!Tunapenda kiingereza lakini hakitupendi kabisa wengi wetu tunalazimisha tu.Hapo maneno yameunganishwa tu na gundi ukimpa mzungu atashindwa kuelewa ulikuwa unataka kusema nini?
Arabs are originally Africans mixed with Romans and Greeks. Ishmael was the elder son of Abraham even their physical feature confirms this.Just like German and Russian historians, I totally disagree all humans were blacks and from Africa, it is a pure lie without base, by so called scientists but are psychotics searching for fame and money. The same scientists now claim Pharaohs leaders were aliens just to discredit Africans, but the fact is were black Africans who were chased to south Sudan of today.
The world gets more away from reality and live in lies since the death of Christ, people who are psychotics make up lies knowing it is a lie, and repeat it to many people until they totally believe it is true and fact even themselves.
They say Egyptians leaders were Aliens because they had pointing up heads, I say it is just the cover they wore, but some say their skulls found had the same shape, I say it is because they wore those heavy tight head raps since were toddlers. Like Masai women, their necks get longer and stiff because of the rings they wear since are kids.
Every race was created were it belongs, reason all races cope with the weather and environment where they are originated, more than anywhere else they move to, reason why whites can't cope with hot sun without cream, reason why blacks suffer more in the freezing winter.
The questions are,- what were these African doing in frozen Europe without food when they immigrated where can find food easily and feed their animals and plant African food?
How comes these Africans who moved to Europe totally forgot about where they are from until after the Romans showed them?
Why they forgot African culture totally even that there are Africans in Africa, to be surprised to see them, study them and put them in the cages in their zoos?
How comes far east people are totally different from al races by appearance and physical built?
How comes Arabs are white skin when they have hotter sun rays than Africa?
Why we are so different physically not just the skin, to have different abilities of our bodies? How comes these Africans who turned white can't move African moves easily? What changed the hair texture, colour and length? What changed their eyes, why do they have different colour of eyes and hair?
Haiwezekani, Waroma walipofika mashariki waliwakuta Waarabu tayari. Hawakukuta pale Waafrika ili waanze kuzaa.Arabs are originally Africans mixed with Romans and Greeks.Ishmael was the elder son of Abraham even their physical feature confirms this
Arabs are originally Africans mixed with Romans and Greeks.Ishmael was the elder son of Abraham even their physical feature confirms
Mama yake Ishmael alikuwa Mmisri.labda Kama wewe bado huamini kuwa Wamisri walikuwa waafrika.Weupe wameupatia kwa Waroma na Wagiriki.Angalia Wamisri wa Sasa walivyo,Wana weusi bado.hawakuchanganyika sana.au wasudani kaskaziniHaiwezekani, Waroma walipofika mashariki waliwakuta Waarabu tayari. Hawakukuta pale Waafrika ili waanze kuzaa.
Pia hujui kitu chochote kuhusu physical features za Abraham au Ishmael.
Ninachokijua Mimi wengi wenye mtizamo wako,Ni wake wanaoamini katika ubora wa jamii flani flani na Mwafrika akiwa chini kabisa.yaani sisi Yuko karibu zaidi na nyani kuliko jamii nyingine.ujue nature does not strike twice.I said every race was created where it belongs because I know is God created us all as individual races just like animals species, there are all sorts of dogs, their physical appearances suit their habitat, we have African and European dogs, they are different, America and Africa lions, are different.
Scientist don't believe in God, but they use the word create, even English government use the word saying it is creating jobs, get that in your thick skull.
English didn't start then but was introduced to England by then, it is one of the oldest languages before Christ, before whites knew there is God.
History of English - Wikipedia
English is a West Germanic language that originated from Anglo-Frisian dialects brought to England around the year 449. English are from Germany majority of them, mixed with French and Scandinavians, waskoti ni mix ya Welis na Scandinavians ambao sio wajerumani walioongea kiingereza, na idadi yao ni chache zaidi UK hata ukijumlisha waskoti na welisi wote.
Unajisumbua bure,madini unayo halafu mtoa mada mwepesi! anabisha ili umwagie madini zaidi amalizie assignment aliyopewa huko darasani kwake UKUnaweza kunijibu kirahisi: taja mwanasayansi mmoja anayesema "dunia iliumbwa", au spishi iliumbwa" (quote a scientist world or any living being was "created"). tafadhali nukuu safi, pamoja na jina, tarehe, na mahali ulipoikuta!
Menginevyo: kuhusu historia ya lugha kuna bado nafasi ya kujifunza. "English was made before Whites knew religion" - taja mwaka au karne!
Nina kuambia si kweli. Kiingereza kilianza baada ya mwaka 1200 hivi, wakati Uingereza tayari nchi ya Ukristo.
Hapakuwa na Kiingereza kabla. Hadi 19066 watu pale Welisi na Uskoti walisema Kikelti, wengi Uingereza penyewe walisema Kianglo-Saksoni, watu kadhaa upande wa mashariki wa kisiwa walisema Kidenmark...
1066 Wanormandi walivamia, na kuleta namna yao ya kifaransa. Kutokana na mchanganyiko wa Kianglo-Saksoni na Kifaransa, lugha ya Kiingereza kilizaliwa. Hujajua?
Umekosea!! wale! samaki waziwa Victoria wanaitwa fulu! siyo foool!! siku hizi wanapungua sana sababu ya chengu! vitamu hivo! naona umevikumbuka!!You can't read English fool.
The problem is miss spelling of where, it was typing error, but if you really know English first of all you would answer me in English, and would understood all what I have said 😀 😎You must speak your own English, reason to call it the queen language 😀😀😀, but those who know English understood like my English wife.
ingawa naifahamu fluentlly lugha hii ya Queen! I am sorry for this!
Have you tried The Africa HistoriansJust like German and Russian historians, I totally disagree all humans were blacks and from Africa, it is a pure lie without base, by so called scientists but are psychotics searching for fame and money. The same scientists now claim Pharaohs leaders were aliens just to discredit Africans, but the fact is were black Africans who were chased to south Sudan of today.
The world gets more away from reality and live in lies since the death of Christ, people who are psychotics make up lies knowing it is a lie, and repeat it to many people until they totally believe it is true and fact even themselves.
They say Egyptians leaders were Aliens because they had pointing up heads, I say it is just the cover they wore, but some say their skulls found had the same shape, I say it is because they wore those heavy tight head raps since were toddlers. Like Masai women, their necks get longer and stiff because of the rings they wear since are kids.
Every race was created were it belongs, reason all races cope with the weather and environment where they are originated, more than anywhere else they move to, reason why whites can't cope with hot sun without cream, reason why blacks suffer more in the freezing winter.
The questions are,- what were these African doing in frozen Europe without food when they immigrated where can find food easily and feed their animals and plant African food?
How comes these Africans who moved to Europe totally forgot about where they are from until after the Romans showed them?
Why they forgot African culture totally even that there are Africans in Africa, to be surprised to see them, study them and put them in the cages in their zoos?
How comes far east people are totally different from al races by appearance and physical built?
How comes Arabs are white skin when they have hotter sun rays than Africa?
Why we are so different physically not just the skin, to have different abilities of our bodies? How comes these Africans who turned white can't move African moves easily? What changed the hair texture, colour and length? What changed their eyes, why do they have different colour of eyes and hair?
Sijui Kama umewahi sikia neno Neanderthal.fanya utafiti,maoni yako mengi yanajibiwa hapo.google MkuuNot all whites hate blacks, and for your fact the races differences are many not just the skin color but even bone and muscle structures like of noses , mouths, legs and hips, Also the Sun make some of white hair blond not black, so why their hair turned to blond where there is no much of the sun, or other colors but when some of them move to Africa their hair gets blonder.
Kaka hupendi kukosolewa kuhusu kiingereza chako lakini ni dhahiri: unapenda kutumia lugha ambalo sarufi yake si rafiki yako. Au wewe si rafiki yake. Inaanza kwenye sentensi ya kwanza. Nahisi ulitaka kusema kitu kama "I disagree with the opinion that..." , halafu " it is a lie by so called scientists who in reality are psychotics ", na kadhalika.
Ila tu hata nikitafsiri maneno yako kwa Kiingereza au Kiswahili bado sioni msingi wa hoja lako.
Sidhani umeelewa majadiliano katika sayansi ya jenetiki ya binadamu kuhusu mabadiliko ya maumbile ya watu.
Je umewahi kuelewa kwamba kisayansi hakuna kitu kama "race"?
Ukidai "Every race was created were it belongs" - je uanelewa unachosema? Ukitumia lugha "iliumbwa" - nani aliumba?
Sijaona msahafu unaoeleza uumbaji wa makundi tofauti wa binadamu.
Ni dhahiri makundi tofauti yametokea kutoka chanzo cha pamoja. Kwa sasa wataalamu wengi kabisa wanaona chanzo hiki kuwa barani Afrika. Hakuna anayejua watu hao wa kwanza walikuwa na rangi gani.
Sisi sote tunajua kwamba wakazi wa kwanza wa sehemu kubwa ya Afrika si weusi kweli - angalia akina Bushman na Khoikhoi.
Hao weusi-weusi waliingia kutoka Afrika Magharibi (akina Bantu) au kutoka kaskazini (hao Niloti).
Kumbe yule mwumbaji fulani aliumba "races" tofauti katika Afrika: hao weupe wa bushman, hao wa wastani akina Wabantu na wale weusi zaidi pale Sudan?
Na pale Ulaya aliumba pia aina tofauti, hao weusi kidogo wa kaskazini kabisa (akina Lapp), hao weupe sana wa Skandinavia kusini na Ujerumani kaskazini, halafu hao weusiwesui wa Hispania, Ugiiriki na Italia kusini?
Sidhani.
Watu wote huwa na asili moja. Kutokana na mazingira hutokea mabadiliko ya polepole. "Weusi" wa ngozi (ambayo ni kiasi kikubwa cha kemikali ya melanini) inasaidia dhidi ya mionzi mikali ya Jua na kupunguza kansa ya ngozi, lakini ina hasara penye Jua hafifu kwa sababu inachelewesha kujenga vitamini D mwilini.
Kuwa na kiasi kidogo cha melanini (weusi) kunasaidia kujenga haraka vitamini D mwilini, hivyo ni faida penye Jua kidogo.
Faida hizi zinachukua miaka mielfu hadi kupata kipaumbele katika urithi wa jenetiki wa eneo fulani, yaani hadi watu wengi huonekana hivi au tofauti.
Tena watu wote wamezaa kwa pamoja kwa milenia, kwa kiasi tofauti. Waarabu walichukua watumwa kutoka nje tangu miaka elfu 2, hivyo ukienda Saudia unapata weusi kabisa na weupe kabisa.
Kuhusu swali la kusahau asili ya zamani: Je mababu zako walikaa wapi miaka 600 iliyopita? Huwezi kusema. Sasa unashangaa jinsi gani watu waliohamia Ulaya kutoka Afrika miaka 50,000 au 120,000 iliyopita hawana kumbukumbu.........
Asante kwa mchango wako. Lakini hatuko pamoja. Ni dhahiri mabadiliko katika spishi (aina ya viumbehai) yanaweza kutokea katika muda wa miaka elfu kadhaa..Yupo mbunifu na muumbaji alieumba binadamu wote tofauti na wengine(race),kama tunavo waona leo,yaani watu weupe weusi,au wekundu n.k ,Mageuzi unayoyaongelea hayaendani na kipindi mwanadamu alichoishi duniani. Thank you
Yaani acha tu...nimesoma mistari mitatu tu hamu ikaniishia nikaachaTunapenda kiingereza lakini hakitupendi kabisa wengi wetu tunalazimisha tu.Hapo maneno yameunganishwa tu na gundi ukimpa mzungu atashindwa kuelewa ulikuwa unataka kusema nini?
Common errors on wirtten /spoken language pronunciations'!!! (lazima!! nasema lazima!!) ziwepo Kwa Lugha iwayo yeyote ile Duniani na kwa mtu yeyote yule!! mahali popote! Duniani hata kwa wazawa kindaki ndaki!! Waingereza na wagiriki woote wenye Lugha yao!! ni Maarufu km ''Common Mistake subjects''Nimejaribu kusoma bango hili likiwa katika lugha ya Kiingereza kwa umakini sana, lakini SIKUMUELEWA mleta bango kutokana na lugha ilivyo changanywa! Admittedly, nakiri kutokuelewa kinachokusudiwa ingawa naifahamu fluentlly lugha hii ya Queen! I am sorry for this!