This is self-defeatism! Unasema "ni lazima" yawepo makosa aidha ya kiuandishi au ya kimatamshi? Huu ni upotoshaji wa lugha aidha yako ya asili au ya kigeni! Ukishindwa kuandika kwa ufasaha kwa lugha yoyote ile, maana yake ni kwamba HUIJUI LUGHA HIYO, la kufanya ni kwenda kuijifunza hiyo lugha kisha uandike ili watu waelewe unawasilisha nini. Ukianza kuandika UPUUZI na tusipoelewa, hatutakusamehe eti kwa sababu "hakuna asiyekosea". Hapana, andikeni tuwaelewe, hata kama ni in YOUR MOTHER'S TOUNGUE. Wewe andika tu. Wanaoielewa wataelewa na kuitafsiri, kama ni lazima sana na kama ni muhimu.
Uko sahihi kabisa hivi unavosema kabisaa!! wala sikupingi!! ila!! wewe ni Mgonjwa!!! unahitaji msaada! ugonjwa wako ni perfectionism so unahitaji msaada wa Daktari Mwanasaikolojia!! au inawezekana pia neno ''common Mistake'' ni msamiati kwako!
Kwa mfano wewe umechanganya herufi kubwa na ndogo, ndo ulivo fundishwa huko Majita Makojo? hkn walimu huko Makojo? wapo si ndiyo? tena hii mistake umeifanya kwa kurudia rudia , ina maana ndo ulivyo elewa drsani hatukulaumu huo siyo uandishi mzuri!
Inaonyesha pamoja na kusoma zamani Mwalimu wa somo la Mwandiko hukumuelewa, lkn hapa nimeelewa mie tu?? na nimekufundisha kirahisi,najua hutarudia tena! sometimes unaweza usielewe ukarudia makosa,
Hili si kosa la kupitiwa ni kosa la kutokuelewa!! Ukitaka ufafanuliwe kila jambo utachukua mda mrefu sana ku graduate!! Mwalimu anakufundisha asilimia 25 tu!! zilizo baki tafuta mwenyewe , siyo anakukomoa! ni ili kukuza udadisi wa mwanafunzi!! siyo urudi drsani!
Ila elewa kuna watu wenye akili nzito kama Grease, wako drsn, humu wamo popote pale wapo hao mpaka wende polepoleeee! hapa hawakuelewi! watakwama tu. pia siyo uelewe kila kitu!
Lugha lazima inazaliwa inakua ina kufa vilevile, pia ipotoke inapobidi, Misamiati mingine inakuja kwa sababu ya kupotoka mfano neno kama
Ng'atuka,
Amekataa katakata kunisaidia, sababu amelewa.
Maji mafu yametanda Mto Wame Magari hayapiti! Au kwa kiswahili sanifu huniwezi mie Maji Mafu!!nk