We jamaa toka zamani unaandikaga hivihivi
Mimi nakosoa R na L tu.Kwakweli maana bi faiza anavyopenda kukosoa
Afadhali.Uzingatie sasa masomo yako ya kujifunza kusoma na kuandika vizuri.Kutokana na majukumu yaliyo nje ya uwezo wangu nawatakia kila la kheri na mwezi May.
Majukumu kwanza mengine baadaye, c ya!
SawaMimi nakosoa R na L tu.
Mbona wewe sikukukosoa?
= anaandika siyo "anaandikaga".
Hii nchi usipofosi kujipa umuhimu, wanakusahauπππHivi ni lazima uage π
ππππππHii nchi usipofosi kujipa umuhimu, wanakusahauπππ
Sounds like an intensive work trip to Europe, Brazil or somewhere similarKutokana na majukumu yaliyo nje ya uwezo wangu nawatakia kila la kheri na mwezi May.
Majukumu kwanza mengine baadaye, c ya!