All the way to Arusha,hodi wenyeji

Arabela nakupenda, hata sijui nimchague nani kati yako wewe na Preta,.ilautakuja kwenye harusi yangu..??
 
Last edited by a moderator:
Karibu tupo. Ia kama wewe sio mjanja siji kama utapata wa kukagua; kamba mguuni itakuponza
 
Karibu tupo. Ia kama wewe sio mjanja siji kama utapata wa kukagua; kamba mguuni itakuponza
Hulali we mwanamke?
Yan muda wa cha asbh we ushakurupukia chitchat?
We sikutaki King'asti
 
Last edited by a moderator:
Paw hayupo, alienda vatican kuchagua papa. Nimewahi kuamka nimuone kwenye tv ili nimerkodi jamani!
Hahahahahaaa
Bora aende ili akirudi aachane na Ban
Hivi yupo kweli mbona simuoni siku hizi?
Yeye ( Paw ) na Roulette wamepotea sana
Ukiwaona waambie waje kutusalimu!
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana Mkuu ila ombi lako ni gumu kufanikiwa! Hakuna wakulifanyia kazi
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh, hivi kweli?
all the best son,
utaniletea zawadi gani?

 

hivi ni mimi mwenyewe huo mstari mwekundu umeniboa au.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…