Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
-
- #61
ah ah! nimeuliza tu, kuna machinjio ya Wanaume haya yao ni hatari sana kwasababu wanakua wamekomaa, ila machinjio ya Wavulana haya ya kawaida sana kwasababu wanakua hawajakomaa, kuepusha kuwakomaza kuna machinjio yao, chaguo ni lako Mkuu!
hivi ni mimi mwenyewe huo mstari mwekundu umeniboa au.....
Hatupokei wageni wapya mwezi huu .......
Samahani kwa usumbufu uliyo jitokeza! !!
Zaidi ni Mimi!
Huyu kaniboa sana!
Arabela umeanza lini kupenda wanyama!?
Huyo ni Mwanaume au Mvulana?
kuna haja ya kumchungulia nadhani. naomba ruhusa
dah.....naona sasa tumeanza kuvunjiana heshima.....itabidi wageni wapya tuanze kuwapotezea.....tutamaintain wale wa zamani wenye nidhamu......
naomba kutoa angalizo.......kama mtindo ndio huu......kwa nini tusikomelee kwa wageni wa 2012......kuanzia 2013....tuache kupokea wapya.....wakija waje kimpango wao....(serious on this)
ccš”PakaJimmy, Lily Flower, marejesho, Mungi, Erickb52, Mzee wa Rula, Arushaone, sweetlady, Blaki Womani,
utapofuka King'asti shauli yako,labla unichungulie na miwan
nna welding goggles, uthijali.
NiPM nikupokee!
bobobonge la mchoko,thank you God kwa kunifikisha salama ktk jiji la wapenda mageuzi.