WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Inakuwaje lakini?
Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.Ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.Wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....
Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
Hupitwiiiiiii???
Halafu vera mimi nakutamani si mchezo,unapatikana wapi???????
inakuwaje lakini?
Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... Ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....
Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
Hupitwiiiiiii???
talking as if women are a pair od trausers, hawana take kwenye kung'onoka? huyo jamaa anawatoa wapi? Shopright au wapi? usiseme ananunua. its high time kuwa na respect ya choices za watu. Kupanga ni kuchagua.Ni kweli kabisa Veracity, wanaume tumezidi sana, hatupitwi na kitu.sijui tunaelekea wapi. kuna jamaa mmoja anafanyakazi shirika fulani ambalo linajihushisha na mambo ya ukimwi ni mchafu hadi basi, mke wake amemuacha mkoa mwingine, basi yeye kazi yake ni kila siku kubadilisha ma barmaid hadi kero kwa sisi wapangaji wenzake.
Halafu vera mimi nakutamani si mchezo,unapatikana wapi???????
Ni kweli kabisa Veracity, wanaume tumezidi sana, hatupitwi na kitu.sijui tunaelekea wapi. kuna jamaa mmoja anafanyakazi shirika fulani ambalo linajihushisha na mambo ya ukimwi ni mchafu hadi basi, mke wake amemuacha mkoa mwingine, basi yeye kazi yake ni kila siku kubadilisha ma barmaid hadi kero kwa sisi wapangaji wenzake.
Inakuwaje lakini?
Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.Ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.Wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....
Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
Hupitwiiiiiii???
na sisi tukitoka nyumba njia nzima tusipoitwa au kutongozwa tyunaenda kwa wanganga kwa nini? usiposemesha na mwananume ukirudi unajiangali una kasoro gani?jamani hata bibilia imesema kuwa mwanamke ni pambo hivyo hakuna jinsi inabidi tukubali yatokanayo tu.
Kwakuwa usipotongozwa utasema unagundu,
Usiposemeshwa na mwanaume itabidi ujiangalie kwenye kiooo
Why?????kwa nini?twawasingizia wanaume kuwa ndo wasumbufu????

we kichwa!

Ndio maana kuna prohibited degrees of relationships - suala siyo kumegwa/kumega hapa.Ishu ni kuwa na staha basi hata kama moyo umetamani baada ya macho kuona!
mnajua kuna lawama nyingine most of woman wananzitoa kwa wanaume bila kuangalia upande wa pili.mojawapo ndo kama hii iliyoletwa na huu mdau kwa kweli sioni haja ya kuwalaumu hawa wakaka kwa kuwa wanaaoandaa mazingira yote ni wananwake na si wanaume.
Kama mwanamke akijiheshimu hawezi kuwa hivyo kutongozwa kwa mwanamke ni haki yake ila kukubali na na kumegwa jambo jingine ambalo halina mahusiano na hayo aliyoyaleta mtoa maada.Mkaka anenda bar ankunywa bia anamwita barmed anamaproach sasa kama baarmed akikubali nani wakulaumiwa?
Mke wa rafiki yake anatongozwa yule mke anakubali nani wakulaumiwa?
Binamu anatongozwa anakubali hapo nani wa kulaumiwa?
Wewe Veracity unatongozwa na libaba unakubali na wakukulaumu?
.