All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

ngoja tu Chrispin atie timu huku, kazi itakuwepo hapa leo. mi nangojea tu
 
 

Engage your brains before you engage your mouth or fingers on the keyboard plss!!
Hapa hatuko kutukanana - wala kuchukulia issues personal! Wewe kama hujafurahishwa na mada hulazimiki kuisoma wala kuchangia na siyo ustaarabu kunivamia mimi personally maana u know nothing about me.
Ustaarabu ni tunu na karama ya bure hata kama huonekani.
 
 

Zero grazing. kama kuna majani nje ya nyumba yako na yanalika sasa ufanyeje? kama walio karibu wanakataa, hali ingekuwa tofauti.
 
hawa wanaume waongo bwana kila mala wanadai ooh sisi wanaume tuna udhaifu mala eeh yaani huwa siwaelewi kabisa ..kila wakionacho wanataka kiwe chao ...lol
 

Nguli, jina lako liko juu zaidi ya mkulu, na ni zaidi ya gwiji... ila naona kama umepiga below the belt mazee
 
Ukiona mtu anajitetea binafsi kwenye general discussion, hata pale ambapo hajatajwa, ujue ujumbe umefika mahali pake!
 
Zero grazing. kama kuna majani nje ya nyumba yako na yanalika sasa ufanyeje? kama walio karibu wanakataa, hali ingekuwa tofauti.

MAdhara ya zero grazing baba ni pale unaponyea kambi

Waswahili wanasema "usinye unapolala", maana hiyo harufu unayoacha hata usingizi hupati
 
hawa wanaume waongo bwana kila mala wanadai ooh sisi wanaume tuna udhaifu mala eeh yaani huwa siwaelewi kabisa ..kila wakionacho wanataka kiwe chao ...lol
Na mwenye kutaka kila akionacho kisimpite anakuwa mkali kama mbogo kwa kile chake!
MWOSHA ATAOSHWA SIKU MOJA KAMA BADO HAJAOSHWA.
 
ngoja tu Chrispin atie timu huku, kazi itakuwepo hapa leo. mi nangojea tu

Lol! Umeanza uchokozi. Lakini tuseme ukweli, wanawake wameumbwa kwa ajili ya nini? Sasa kwa nini tusiwape wanachokihitaji? Kibaya kubaka, ila ukiomba game ukakubaliwa, kuna ubaya gani?
 

usiwe na hasira ndugu yangu!!ulivyo chukia shost kama nakuona vile yaani angekuwa karibu sijui ungempeleka TGNP
 
hawa wanaume waongo bwana kila mala wanadai ooh sisi wanaume tuna udhaifu mala eeh yaani huwa siwaelewi kabisa ..kila wakionacho wanataka kiwe chao ...lol

Hivi katika kuomba naniliu na kupewa, yupi mdhaifu: yule anayeomba au yule anayetoa au wote?
 

Yeah, he doesnt know anything about you.But I know everything about you. Ntamwambia, subiri.
 
Kumekuwepo na malalamiko kuwa wanawake - (wake na ma GFs) wanamegwa sana siku hizi na wanaolalamika hawajakaa wakajiuliza hivi kwanini inakuwa hivi.

Moja ya sababu za kuleta hali hii inayowasumbua na kuwaumizi mioyo wahusika ni vijitabia hivi vya kuzungukanazungukana.Wewe wako unataka abakie wako, ila wa wenzio ni halali yako - nini unadhani kitakufanya wewe uwe so special kiasi kuwa wenzio wanaokuona ukimendea vyao wakuachie vyako?...

Katika utafiti wangu mdogo niliowahi kuufanya kuhusu ishu hii nimepata kuwa wanawake wenye watu wao mara nyingi hawapendi ( nasema tena MARA NYINGI sio MARA ZOTE) kuwa na mahusiano ya ziada au ya pembeni kwa sababu wanaridhika wako tayari na mahusiano.
Wale wanawake wanaojihusisha na mahusiano ya pembeni hufanya hivyo kwa sababu mbalimbali - kuna ambao ni hulka, wako ambao wanakosa mapenzi kwa waume/boyfriends, wako ambao hurubuniwa kirahisi kwa kuwekwa katika hali hatarishi (compromising situations) na kuingia kwenye mtego bila kutarajia.Moja wapo ya gia wanayorubuniwa nayo hao akina dada/mama na hao wapenzi wa nje ni kupewa data kamili zinazohusu waume/BFs wao na hata mara nyingi kwa ushahidi kamili wa maneno yanayozungumzwa, picha za matukio etc.Hi hupelekea kuchochea hisia za kulipiza kisasi.
Najua kuna watakaopinga na kubisha lakini habari ndio hiyo.
 
Turudi kwenye Mada Veracity; hebu ingia ndani zaidi kama ulivyoahidi!!

Umeshawahi jiuliza wanaume tungekuwa na mawazo sawia na expectation wanawake dunia ingekuwaje??? maana mara nyingi wanaume active kwenye mambo hayo they are good in almost everything including kazi zao??

and if they change that style, none would be where they are now!??
 
Hivi katika kuomba naniliu na kupewa, yupi mdhaifu: yule anayeomba au yule anayetoa au wote?

mdhaifu ni yule anayetoa.

Kwa kuwa siyo lazima ukiombwa utoe hata kama huna uwezo ndo utoe.

We unajua kuwa huyu ni baba mkwe anakuomba ukikubali wakulaumiwa ni wewe uliyekubali.

We ni mwanafunzi sawa na mtoto wa huyo baba ukiombwa na ukakubali mwenye kosa ni wewe uliyekubali kutembea na baba yako hata kama hajakuza.

We ni shemeji mtu halafu rafiki wa mumeo au boyfriend wako anakuomba na unakubali wa kulaumiwa ni wewe uliyekubali na wala.

Mi najua ninachokisiema nilashawatoleaga nje wanaume wanaume ambao wanpenda kula vitu vya watu.

Kwa hiyo dada yangu usiseme kuhusu zero grazing wala nini wote ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…