All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

Did u read my last one..... ndio naanza kuweka mambo hadharani.

Hebu fafanua kwenye bold plz
 
VC, you have nailed it gademu!!! it applies kwa wote and i have just copied your post and edited a bit to represent the other side of the coin

Check this out!!!

"Katika utafiti wangu mdogo niliowahi kuufanya kuhusu ishu hii nimepata kuwa wanaume wenye watu wao mara nyingi hawapendi ( nasema tena MARA NYINGI sio MARA ZOTE) kuwa na mahusiano ya ziada au ya pembeni kwa sababu wanaridhika wako tayari na mahusiano.
Wale wanaojihusisha na mahusiano ya pembeni hufanya hivyo kwa sababu mbalimbali - kuna ambao ni hulka, wako ambao wanakosa mapenzi kwa wake/girlfriends, wako ambao hurubuniwa kirahisi kwa kuwekwa katika hali hatarishi (compromising situations) na kuingia kwenye mtego bila kutarajia.Moja wapo ya gia wanayorubuniwa nayo ni kupewa data kamili zinazohusu wake/girlfriends wao na hata mara nyingi kwa ushahidi kamili wa maneno yanayozungumzwa, picha za matukio etc.Hi hupelekea kuchochea hisia za kulipiza kisasi.
Najua hakuna watakaopinga na kubisha lakini habari ndio hiyo"

Copied as a fair user from VC post, no copyright issues i guess😀
 
Ndugu yangu hivi ni kweli kuna wanawake wanakubali kumegwa kwa sababu wamepewa taarifa kuwa boyfriend/au mumewe anacheat na fulani?

kweli kiboko
 
Did u read my last one..... ndio naanza kuweka mambo hadharani.

Hebu fafanua kwenye bold plz

Nimeedit, tayari, nilikuwa nawaza kama wanaume na wanawake wangekua wana mawazo sawa mambo yangekuwaje? Let the difference be there for world to be a better palce
 
Nimeedit, tayari, nilikuwa nawaza kama wanaume na wanawake wangekua wana mawazo sawa mambo yangekuwaje? Let the difference be there for world to be a better palce
Its getting interesting!
Lets hear what the plenary says
 
usiwe na hasira ndugu yangu!!ulivyo chukia shost kama nakuona vile yaani angekuwa karibu sijui ungempeleka TGNP

Shosti,
Hakuna TGNP haya mambo humalizwa katika round table baina ya wahusika na maisha hubakia matamu tu.
 
Shosti,
Hakuna TGNP haya mambo humalizwa katika round table baina ya wahusika na maisha hubakia matamu tu.

Umenikuna mama. Karibu kwenye meza yangu tumalize ya nguli tubakie na maisha yetu matamu. Hahahahaha!
 
Siku hizi wanaotongoza wengi ni wanawake na sisi wanaume tumeumbwa na moyo wa upendo, hivyo tunatoa au tunasaidia. Sasa kitu unacho unamnyima muhitaji wakati anataka? Just imagine ladies going wild for luck of love..They become crazy, others may opt for many things, achana na hizo manufactured toys but even others can go with horses, etc. Let me not say more...but fact will be called fact always.
 
Ndugu yangu hivi ni kweli kuna wanawake wanakubali kumegwa kwa sababu wamepewa taarifa kuwa boyfriend/au mumewe anacheat na fulani?

kweli kiboko
Wengi sana wana opt kulipiza kisasi kwa kumegwa nje, kwanza anaweza kwenda kwa nduguyo ama rafikiyo ama driver wako ama garden boy ama shamba boy, anything.....they just become confused when they go wild!!!!!
 
Na wakiwakosa wote hao? Au hujasikia watu wanamega kuku au wanamegwa na majibwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…