Elisante Yona
Senior Member
- Oct 6, 2009
- 130
- 24
Hi Vera
Usishangae maadili yamemomonyoka kabisa,ndio mambo watu wa kisasa wanaita uzungu uzungu,
Kuwa mwamini na jitahidi kuutukuza utanzania na sio uzunguni
Haya ni madhara ya utandawazi hadi kwenye kuwaza kwetu
E.Y
Inakuwaje lakini?
Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.Ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.Wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....
Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
Hupitwiiiiiii???
...duuuh, na huyo mke kajisahau kiasi gani mpaka mitambo ikimuona inagoma kufanya kazi?
...anazidiwa 'ka -lufundi' mpaka na Barmaid, ma denti na ma housegirl? Kajisahau sana huyo! ha ha ha 😀
Hajajisahau.... battery inakuwa down mpaka kusukuma au kupiga ile start sijui inaitwaje kwa wale wenye ujuzi wa magari..ile unazungusha weeee!!
on a serious note - performance ya some men siku hizi ni gumzo! Iliwahi kuandikwa hata kwenye magazeti.

Ku filter nini tena kama ukweli unasemwa?This is very true... sasa mbona umeanza kusema ukweli!!??? Samtaims uwe unafilter mazee
Ku filter nini tena kama ukweli unasemwa?
Ku filter nini tena kama ukweli unasemwa?
Hajajisahau.... battery inakuwa down mpaka kusukuma au kupiga ile start sijui inaitwaje kwa wale wenye ujuzi wa magari..ile unazungusha weeee!!
on a serious note - performance ya some men siku hizi ni gumzo! Iliwahi kuandikwa hata kwenye magazeti.
Sure darling, try me then.
I HAVE MINE WHO IS MORE THAN ABLE.... DUDE!
Nimezungumzia tatizo lililoko kwenye jamii..haimaanishi ni tatizo langu jamani!
VC, hivi unajua kwamba kwenye suala la performance upande wenu ndio soo kabisa!!??? performance, innovation and stamina!!??
[hapa na mie nimekuwa explicit]