Allah! Nitangulie

amiry123

Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
7
Reaction score
13
habari zenu wapendwa!
naitwa Amiry Samiry ni kijana wa miaka 29 now

kabila langu Mbondei wa Tanga Muheza

Dini yangu Muislam.. ninafanya kazi Serengeti kiwanda cha bia Moshi mkoani Kilimanjaro

nimejitokeza hapa kutafuta MCHUMBA ambaye nahitaji ajitambuwe na awe tayari kuwa mke wa mtu yaani tukielewana tutambulishane kwa wazazi na ndugu na tupange ndoa!
nipo tayari kumpokea yeyote yule nikiwa na maana sina uchguzi ila tu awe mkweli na mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu (Allah)

kitu cha muhimu kwangu awe Moshi hapa na sio mkoani.. awe tayari kuwasiliana namimi wakati wowote na sichagui umri ila asiwe chini ya miaka 20
asiwe mwanafunz pia

nitafute kwa +255785 071 973

please kama haikuhusu naomba pita tu kwani sitapenda kuona ushauri wowote wa comment maana maamuzi yangu nayaamini
 
We una hofu ya Mungu kweli, unafanya kazi kwenye bia. Usimtaje Allah kwa vitu vya ajabu.
 
 
[QUOTE="amiry123, post: 21042246,

HILI LA KUSEMA ETI SINA HOFU YA MUNGU COZ NAFANYA KIWANDA CHA BIA LINAKAJE WAUNGWANA? JE NISIFANYE KAZI AU NIDANGANYE NDO ITAONEKANA NINA HOFU YA MWENYEZI MUNGU?

NIMETAFUTA KAZI KILA KONA NA HAPA NDIPO NILIPO PATA NA SI KWINGINE;

SINYWI NA WALA SIITAMANI HAPA NIPO KWAAJILI YA KAZI NA HATA NISIPOFANYA MIMI SIO KWAMBA KIWANDA KITAFUNGWA LAAH! EMBU KABLA HUJAKURUPUKA KUCOMMENT TAFAKARI...!
 
inshallah Allah atakutangulia kaka angu [emoji120] sababu kweli una nia
 
kaka achana nao we tafuta mke tu
 
Utapata tu mke kila mtu na maono yake kama mwingine haamini mke kama anaweza kutokea mitandaoni ni yeye na sio ww Ila kuwa makini tu
Hiyo kaz pia ni mtihani Mwenyez Mungu amekupa muombe sana akuongoe japo ni kazi inayokuweka mjin ila Muombe Mungu kama inakher na dini yako bac uifanye na kama haina kher bac akuepushe nayo na akupe yeny kher na ww
 
uwe unarudi bonde mkuu, maana ustadhati wapo tele
 
Bia Kreti Bei Gani.....???[emoji5] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji86]
 
Kila la kheri mkuu nakutakia mafanikio mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…