wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Usimuhukumu hivyo mkuu anaweza akawa ni fundi wa mitambo au mfagiaji lakini akawa na imani yake vizuri tuuWe una hofu ya Mungu kweli, unafanya kazi kwenye bia. Usimtaje Allah kwa vitu vya ajabu.