Allah! Nitangulie

We una hofu ya Mungu kweli, unafanya kazi kwenye bia. Usimtaje Allah kwa vitu vya ajabu.
Usimuhukumu hivyo mkuu anaweza akawa ni fundi wa mitambo au mfagiaji lakini akawa na imani yake vizuri tuu
 
Hujtambui ndoo maana unatoa Pov mwenyezmungu amesemaje ktk kutafta rzk? Amesema na ameonyesha misingi yakutafta rizk alaf leo hii unasema umetafta kaz umekosa ndoo maana umuaswi Allah ufanye kwenye kiwanda cha bia. Hata uchukie kuambiwa haitabadilisha maneno ya Allah fkr kwa makn hii dunia tunakumbushana na ww wakumbushe wengne ili tusalimike na moto wa Allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…