Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Ni majini tu alitupiwa. Alisomewa na Azam kisomo akatupiwa majini. Kuna watu wamempeleka kuombewa. Dube kafunguliwa. Sasa atakiwasha sana.
Wamemwambia sasa asiache kuomba na ajitoe kabisa kabisa katika mambo ya kusomewa kisomo au kuchomewa ubani. Anasema anajisikia mwepesi sana baada tu ya kuombewa na kufunguliwa. Ule uchovu umemtoka kabisa. Na leo ametupia.