permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ule unga ulisemwa vibaya, kile kizazi kilichokula ule unga wa "Yanga " kilikuwa na changamoto nyingi zikiwemo za akili.Kumbuka hata nyerere rais wa kwanza wa tanzania ktk miaka ya 70 kupelekea 80 nchi ilipopatwa na janga la njaa alienda Marekani kuomba misaada wa chakula na alileta unga wa ugali wa njano alimaarufu unga wa yanga leo wewe unauletea dharau ugali