Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Kuna dini zilizo wazi kabisa hazifai kabisa kuwa dini, basi tu mazwazwa ni wengi mno dunia hii na ukiwaambia ukweli wanataka kukutupia majini ili usiongee ama kutaka kukuua kabisa usiseme ukweli dhidi ya dini yao. Dini gani inatawala waumini wake kimabavu na kutumia propaganda nyingi zisizo na ukweli wowote, ukitaka kuachana nayo unasomewa kisomo ufe au unatafutwa uuliwe.Ni majini tu alitupiwa. Alisomewa na Azam kisomo akatupiwa majini. Kuna watu wamempeleka kuombewa. Dube kafunguliwa. Sasa atakiwasha sana.
Wamemwambia sasa asiache kuomba na ajitoe kabisa kabisa katika mambo ya kusomewa kisomo au kuchomewa ubani. Anasema anajisikia mwepesi sana baada tu ya kuombewa na kufunguliwa. Ule uchovu umemtoka kabisa. Na leo ametupia.
View attachment 3176731
Unasemaje mpaka sasa?Hakuna mchezaji humo
Mkuu mimi niliwaambia allah hana akili wakaapa kunisomea albadiri nikawaambia hakuna jini wa kushindana na mimi hata allah ni fala tu, mpaka leo allah wao kaingia mitini.Kuna dini zilizo wazi kabisa hazifai kabisa kuwa dini, basi tu mazwazwa ni wengi mno dunia hii na ukiwaambia ukweli wanataka kukutupia majini ili usiongee ama kutaka kukuua kabisa usiseme ukweli dhidi ya dini yao. Dini gani inatawala waumini wake kimabavu na kutumia propaganda nyingi zisizo na ukweli wowote, ukitaka kuachana nayo unasomewa kisomo ufe au unatafutwa uuliwe.
Ukristo kwakweli umeingiliwaNi majini tu alitupiwa. Alisomewa na Azam kisomo akatupiwa majini. Kuna watu wamempeleka kuombewa. Dube kafunguliwa. Sasa atakiwasha sana.
Wamemwambia sasa asiache kuomba na ajitoe kabisa kabisa katika mambo ya kusomewa kisomo au kuchomewa ubani. Anasema anajisikia mwepesi sana baada tu ya kuombewa na kufunguliwa. Ule uchovu umemtoka kabisa. Na leo ametupia.
View attachment 3176731
Mkuu punguza kula ugali, hudumaza sana akili.Tusubiri tuone ila kuna kitu kimeingia ktk football coz kuna kiongozi mmoja wa dini ktk mahubiri yake nilimsikia kupitia video aliyoipost mtandaoni akisema kuwa sasa hv football ndio mchezo unaofuatiliwa na na watu wengi duniani kushinda music au hata siasa na mtu mwenye wafuasi wengi ktk mitandao ya kijamii ni mcheza mpira wa miguu hivyo ili nawe uwe maarufu unatakiwa uwafuate hukohuko ktk mpira sasa unajiuliza kiongozi wa wa kidini unawafuataje watu ktk mpira na wakuelewe jibu ni moja nalo ni tengeneza tatizo kisha lipatie ufumbuzi
duh comedian nyingi ????? stressed zako?????Haaaaahhhha hiii nchi ufe mwenyewe na stressed zako. Maana comedian nyingi
Kumbuka hata nyerere rais wa kwanza wa tanzania ktk miaka ya 70 kupelekea 80 nchi ilipopatwa na janga la njaa alienda Marekani kuomba misaada wa chakula na alileta unga wa ugali wa njano alimaarufu unga wa yanga leo wewe unauletea dharau ugaliMkuu punguza kula ugali, hudumaza sana akili.