Sasa wamefanya nini?Mawingu washafanya yao!!
Clouds tv hao Kijakazi wa Afro beat nae keshahamia huko..
Anyway umri nao umeenda kile kipindi kizuri kikiendeshwa na teenegers wenyewe.
ila allan lucky alikuwa hana weledi na kile kipindi anauliza maswali ambayo hayana objective yoyote na kuna kuna wakati yanakuwa chini ya kiwango nimesha mshuhudia akizinguliwa na wanafunzi kwenye academy moja kiasi yeye alionekana hajui
mi nilisikia kuna deal kapata nairobi ndio anaenda kufanya kazi huko(am not sure)
Kwenye FB page yake kaandika " Off to Nairobi... I will miss Dar" so inawezekana kapata mchongo huko
MUDA HUU YEYE MWENYEWE KAANDIKA HIVI KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK
TO ALL FAMILY, FRIENDS, FANS AND SUPPORTERS:
This is official! I would like to let you know that I am no longer with East Africa Television (EATV). Please follow my Timeline on Facebook and Twitter for more updates.
TUSUBIRI KUSIKIA ANAHAMIA WAPI
Ben Kinyaiya,Millard Ayo,Musa Hussein na Rukia Mtingwa kama sijakosea yule alikuwa radio 1 na mambo ya Lugha,bado wajitia hujui tu??!! Ni soko hulia najua ila me beef yangu na Mawingu ni kuwagawa wasanii na kuwanyonya kwa mgongo wa fiesta na airtime!!!
According to my reliable sources ameclose deal na Shujaaz Fm Nairobi haendi Mawingu wala nini..
Nadhani si Rukia Mtwinga ni Regina Mwalekwa.
Mussa pamoja na kuondoka lakini alipo kwenda ameshindwa kurudisha heshima yake na amebaki kupiga kelele na Kibonde.
Unaajiriwa ili uache kazi.Hivi kwann watangazaji wengi wanaacha kazi hapo? Tukianza na Seba, Allan Lucky
Mussa pamoja na kuondoka lakini alipo kwenda ameshindwa kurudisha heshima yake na amebaki kupiga kelele na Kibonde.