Allan Lucky wa kipindi cha Skonga cha EATV aacha kazi

Allan Lucky wa kipindi cha Skonga cha EATV aacha kazi

:israel:ujue skonga ndo kipindi pekee hapa tz na kilishawahi kukopiwa na baadhi ya channels but hazikufanikiwa kama skonga..
sijui ndo itafutwa au itaendelea kama kawa
 
Clouds tv hao Kijakazi wa Afro beat nae keshahamia huko..

Anyway umri nao umeenda kile kipindi kizuri kikiendeshwa na teenegers wenyewe.

Nimekutwa kitu kimefungwa ila hongereni U guys rocks

ila hawajatutendea haki kuifunga
 
ila allan lucky alikuwa hana weledi na kile kipindi anauliza maswali ambayo hayana objective yoyote na kuna kuna wakati yanakuwa chini ya kiwango nimesha mshuhudia akizinguliwa na wanafunzi kwenye academy moja kiasi yeye alionekana hajui

Sio kweli bwana jamaa alikuwa poa sana kiukweli though nobody is perfect.Inabidi wajipange kweli kumpata mtu wa kuvaa viatu vyake maana kipindi kile hakihitaji kuwa na kipaji pekee cha utangazaji bali kichwani pia kuwe kunachemka
 
mi nilisikia kuna deal kapata nairobi ndio anaenda kufanya kazi huko(am not sure)

Kwenye FB page yake kaandika " Off to Nairobi... I will miss Dar" so inawezekana kapata mchongo huko
 
Sio mbaya kubadilisha mazingira ila.....Acha kazi ukiwa na kazi.
 
Maamuzi mengine ni magumu lakini ya lazima
Kila la kheri
 
MUDA HUU YEYE MWENYEWE KAANDIKA HIVI KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK
TO ALL FAMILY, FRIENDS, FANS AND SUPPORTERS:

This is official! I would like to let you know that I am no longer with East Africa Television (EATV). Please follow my Timeline on Facebook and Twitter for more updates.
TUSUBIRI KUSIKIA ANAHAMIA WAPI

Ben Kinyaiya,Millard Ayo,Musa Hussein na Rukia Mtingwa kama sijakosea yule alikuwa radio 1 na mambo ya Lugha,bado wajitia hujui tu??!! Ni soko hulia najua ila me beef yangu na Mawingu ni kuwagawa wasanii na kuwanyonya kwa mgongo wa fiesta na airtime!!!
 
Ben Kinyaiya,Millard Ayo,Musa Hussein na Rukia Mtingwa kama sijakosea yule alikuwa radio 1 na mambo ya Lugha,bado wajitia hujui tu??!! Ni soko hulia najua ila me beef yangu na Mawingu ni kuwagawa wasanii na kuwanyonya kwa mgongo wa fiesta na airtime!!!

Nadhani si Rukia Mtwinga ni Regina Mwalekwa.
 
According to my reliable sources ameclose deal na Shujaaz Fm Nairobi haendi Mawingu wala nini..

Kama ni hivyo basi sawa.Nilitaka kusikitika sana kusikia amejiunga na kituo kinachoeneza ushoga(mawingu).Ni tv ambayo siipendi kabisa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Watu wengine muwe mnatuwekea na picha ili tuwafahamu.

images
 
Back
Top Bottom