Allan Lucky wa kipindi cha Skonga cha EATV aacha kazi

Allan Lucky wa kipindi cha Skonga cha EATV aacha kazi

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
MUDA HUU YEYE MWENYEWE KAANDIKA HIVI KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK
TO ALL FAMILY, FRIENDS, FANS AND SUPPORTERS:

This is official! I would like to let you know that I am no longer with East Africa Television (EATV). Please follow my Timeline on Facebook and Twitter for more updates.
TUSUBIRI KUSIKIA ANAHAMIA WAPI
 
ahaaaaa nimeelewa lengo la hao watu nikuchukua watangazaji woooote wa eatv , yule wa afro beat si kisha timkia kule , sio mbaya kama wanaahidiwa mshahara mkubwa
 
Mhh. Google wa watoto ...... Sijui wamekosana wapi au mkataba umeisha!
 
Clouds tv hao Kijakazi wa Afro beat nae keshahamia huko..

Anyway umri nao umeenda kile kipindi kizuri kikiendeshwa na teenegers wenyewe.
 
Millard Ayo apata kazi DSTV !

Hahahaaaaaaa ! Wabongo bwana ! Kazi ipo !

Hongera Mr Allan Lucky
 
Hivi kwann watangazaji wengi wanaacha kazi hapo? Tukianza na Seba, Allan Lucky
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1398884392.802190.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1398884392.802190.jpg
    57.5 KB · Views: 997
MUDA HUU YEYE MWENYEWE KAANDIKA HIVI KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK
TO ALL FAMILY, FRIENDS, FANS AND SUPPORTERS:

This is official! I would like to let you know that I am no longer with East Africa Television (EATV). Please follow my Timeline on Facebook and Twitter for more updates.
TUSUBIRI KUSIKIA ANAHAMIA WAPI

According to my reliable sources ameclose deal na Shujaaz Fm Nairobi haendi Mawingu wala nini..
 
kile kipindi kinahitaji mtu mwenye IQ kubwa maaana kuna kipindi Allan alienda shule za fm academia weee nusura wamtoe jasho wale watoto wana akili balaaa

Usikute sio walikuwa na akili ila lugha ya malkia Allan ilikuwa kikwazo kwake ikamtoa jasho lol!
 
ila allan lucky alikuwa hana weledi na kile kipindi anauliza maswali ambayo hayana objective yoyote na kuna kuna wakati yanakuwa chini ya kiwango nimesha mshuhudia akizinguliwa na wanafunzi kwenye academy moja kiasi yeye alionekana hajui
 
Sio mbaya akawapa nafasi wengine.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom