Allen and Kasie....

Allen and Kasie....

Hahahahahahaaa catch yaaah hehehehehehehee haya mahaba mema na wako wa ubani.
we kasie una sifa za uganga wa jadi Papuchi zote huwa nakula bure they always prefer mjegejo wangu
hahahaha
 
Hahahahahahaaa weeeh sidanganyiki ng'oo inapokuja swala la Daby wangu, amarula na wine zote zinaisha kichwani.....
Le Mahabat wangu Daby ana provide kila kitu kuanzia utosini hadi unyayoni.....

Kasie yuko na Daby.. hadanganyiki ng'oo...

Naona haujanifahamu uzuri ivooo. Mie namshikia Tu hadi atakaporudi. Swahiba wangu yule hantilii wivu. Huyo Allen ataharibu interview!!!!!
 
Naona haujanifahamu uzuri ivooo. Mie namshikia Tu hadi atakaporudi. Swahiba wangu yule hantilii wivu. Huyo Allen ataharibu interview!!!!!

Daby mpenz swahiba wako anasema na yeye anataka kushikilia masikio sijui mabega.....

Mie hata simuelewi.... labda uongee nae kimasai.
Sam, nampenda sana Daby maana ananijua fika, Daby ndo kila kitu kwa Kasie.
 
we kasie una sifa za uganga wa jadi Papuchi zote huwa nakula bure they always prefer mjegejo wangu
hahahaha

Pole sana kwa kutapeliwa... wamekuibia shilingi ngapi....
Siku nyingine usiwaamini sana strangers hata wakulambishe asali hehehehehehehhee
 
Daby mpenz swahiba wako anasema na yeye anataka kushikilia masikio sijui mabega.....

Mie hata simuelewi.... labda uongee nae kimasai.
Sam, nampenda sana Daby maana ananijua fika, Daby ndo kila kitu kwa Kasie.

Yaani unamtapeli swahiba wangu hadharani? Unakiri unampenda huku unammwagia sifa kedekede Allen, inaniuma saaaaana!....nikifikiriaaaa huwaga ninaliaaaa. Hahahahaa
 
Yaani unamtapeli swahiba wangu hadharani? Unakiri unampenda huku unammwagia sifa kedekede Allen, inaniuma saaaaana!....nikifikiriaaaa huwaga ninaliaaaa. Hahahahaa

Hahahaaaaa nilitaka kusema hivi....... ila nikaghairi

Wewe wamjua fika swahiba wako, nami Daby ananijua vyema basi Le Mahabat Daby na Kasie ndo mpango mzima.
 
Hahahaaaaa nilitaka kusema hivi....... ila nikaghairi

Wewe wamjua fika swahiba wako, nami Daby ananijua vyema basi Le Mahabat Daby na Kasie ndo mpango mzima.

Acha nikae pembeeni kuepusha msongamnooo. Kama mnajuana basi swahiba huku anatupa version tofauti sana..sio hii unayotuonyesha hapa kwamba it doesnt metter where you get your appetite but you will always eat at home.
 
Hahahahahahaaa all in all asante kunielewa....

Daby and Kasie for real for good.
 
Pole sana kwa kutapeliwa... wamekuibia shilingi ngapi....
Siku nyingine usiwaamini sana strangers hata wakulambishe asali hehehehehehehhee
Alafu mimi huwa nawadrive vizuri single mothers they are real hakuna kujing'ata meno
 
Alafu mimi huwa nawadrive vizuri single mothers they are real hakuna kujing'ata meno

Hahahahahahaaa juzi jamaa mmoja katoka analia na kamasi zinamtoka puani kama mtoto wapaskuna wanasemaga pyeee hahahhahahahahaaa

Poyeee totooo hihihiihiiiiiii
 
Habari za jioni mabibi na mabwana wa JF,

Leo nilikuwa kwenye mishe mishe zangu binafsi sikwenda kazini basi baada ya kumaliza shughuli zangu nikaingia Mandela Square Mall. Nikapata nilivyokuwa nahitaji na wakati natoka nikapishana uso kwa uso na mkaka mmoja hivi kumuangalia vizuri au vijqana wanasema baada ya kufuta tongotongo nikagundua ni Allen.... ooohh my gooshh!!... Allen...!! nikajikuta nimetamka hivyo kwanguvu. Umekuja lini..??
Allen alinifata nilipo akanikumbatia, ashakum si matusi tukajikuta tumebusiana palepale kwenye lango la Mall. Basi si wajua nguvu ya mwanamke tena, ikabidi Alleng aghairi kuingi kwenye Mall maana tulikuwa hatujaonana kitambo, akanibebea mizigo yangu hadi kwenye taxi haooo tukatokomea tunakokujua wenyewe.

casual-man-watching-tv-his-sofa-home-living-room-42569813.jpg

Hadi dakika hii ndo naandaa chakula cha jioni niko hapa open kitchen Allen anaangalia mpira baada ya kumkatalia kuwa yeye ndo apike chakula, namtazama huku natabasamu.... Kasie and Allen looh...

man-standing-happiness-on-the-kitchen-and-preparing-food-picture-id521614808

521614808

Halafu kaja tarehe za hatari sijui ntatoka salama hapa au ntanasaa.....

624491024

young-pretty-black-woman-make-soup-in-kitchen-picture-id624491024

Ni hayo tuu kwa leo, jioni njema na alamsiki. Poleni kwa kuwachosha na matukio ya Kasie, ndivyo nilivyo.

Kasie.
Kazi ipo Duuh
 
[HASHTAG]#receiving[/HASHTAG] sweet tenderness....

And Kasie is physically diminished returned..
.. biologically photosynthesized
...geographically contourised

Love yaaah.
 
Back
Top Bottom