ijokhazubsy
New Member
- Sep 14, 2014
- 1
- 0
Jamanii, mwenzenu nina naelekea kumaliza mwaka sasa nasumbuliwa na Mafua MAZITO hadi yanaziba pua!
Hospital naambiwa ni Allergy nijaribu kugundua kinachonikataa yaani nimeshindwa kujua kabsaa, usiku nalala nimekenua napumua kwa mdomo maana pua zinaziba, na yanatoka makamasi MAZITO.
Nimetumiwa dawa inaitwa Prednisolone kwa muda mrefu ndio inanifanya nikae sawa lakini niliacha kumeza 2dys only Hali inajirudia, kwa sasa hii dawa naiogopa maana makatari wanasema inashusha Sana body immunity.
Dawa zingine za Nasal spray, desloratadine, loratadine, nimetumia lakini hazijanisaidia.
Ili niongee vzr na watu mchana inanilazimu kumeza Prednisolone japo Nimeambiwa sio nzuri kiafya.
Naomba mwenye ujuzi au anayeweza kunisadia niondokane na Hali hii please help.