Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Ila wako ligi kuu..kama mnaona vipi basi muite press conference waondolewe ligi kuuKuna Team Imecheza Na Wanafunzi Huko Mwanza Basi Kelele Kibao [emoji51]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wako ligi kuu..kama mnaona vipi basi muite press conference waondolewe ligi kuuKuna Team Imecheza Na Wanafunzi Huko Mwanza Basi Kelele Kibao [emoji51]
Tunakula nyama ..nyama inashibisha na kunenepeshaSimba hajazoea kula miwa ndo mana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nouma sana
Nyambaff mwenyewe, kwa mihamala hamjambo. Naona Jana network haikuwa na jamNyambaff naona mlikua mnasubiri sana ..endeleeni kusubiri
Ny
Nyambaff mwenyewe, kwa mihamala hamjambo. Naona Jana network haikuwa na jam
Ameitisha press kubishana na magezeti!viongozi wa Yanga hamna kitu kichwaniZahera hajalalamika kuhusu matokeo ya leo..![emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameitisha press kubishana na magezeti!viongozi wa Yanga hamna kitu kichwani
Hahahaaaa. Hujakosea kabisaaa Mtani.
Naona Swahiba ukajiwaia siti.Watakachofanywa Allieance Leo Mungu ndo anajua
Hawa wanafunzi watapigwa kipigo Cha kumkola Nyani Giladi
Ahsante Mwl Kashasha. 😂😂😂😂Wafungaji
Haruna niyonzima
Emanuel okwi
Bado una matumaini ya klabu yako kubeba ndoo?Nipo Best. Kuna habari gani kwani humu?
HahahhahaAhsante Mwl Kashasha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sa swali gani tena hili Best? 😎😎Bado una matumaini ya klabu yako kubeba ndoo?
Hahaaa. Tucheke tu ndugu yangu tuongezage umri.Hahahhaha
Nimecheka dada akee
😪😪 Next tsunami inawakuta KMCSa swali gani tena hili Best? 😎😎
Hamna kitu ka hiyo best. Goli mtazitafuta na tochi ka jana.😪😪 Next tsunami inawakuta KMC