Ally Ahmada anaigharimu Azam FC

Ally Ahmada anaigharimu Azam FC

Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Magoli gn ya wazi waliyokosa? Au umesimuliwa mpira?

Azam walikuwa bora eneo moja tu la kipre Jr bas, azam hawajafanya mashambulizi ya maana ukitoa yale magoli yao mawili
 
Na huyu vipi?
 

Attachments

  • 11.jpeg
    11.jpeg
    68.7 KB · Views: 1
Wewe si ulicheza nao? Hebu tukumbushe matokeo yalikua vipi?


Alafu muache uonevu, litimu ambalo nyie mmeshindwa kulifunga, mnawalaumu vipi wengine wakishindwa?

Hebu kuweni serious asee!
Mechi irudiwe Ili wapewe nafasi ya kubadili kipa,l. Nadhani kwakuwa makipa ni wengi mitandaoni wanayo nfasi nzuri sana ya kuchaguana.
Timu nyingine ikishinda goli tano wachezaji wao bora, mpinzani akishinda lawama kwa makipa. Huu ni u Aden uliopitiliza

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kumlam kwa goli la 3 ila asikuambie mtu! Mipira inayokuja ikadunda inachanya sana makipa! Huwa inabadilisha direction
Watu hawajui tu kwa sababu hawajawahi kukaa pale golini mpira ukidunda mbele ya kipa unabadilisha uelekeo ndio maana unaona wachezaji wakipiga mashuti wanakadilia umbali abao mpira utadunda mbele ya kipa au wakipiga vichwa mara nyingi wanadundisha mpira chini hawafanyi vile kwa makusudi lengo ni kumpoteza kipa
 
Kipa hana shida labda tatizo ka fungwa na yanga mbona huko nyuma kabla ya hapo hakuna aloongea ayo au kwa kua kafungwa
 
Kama alivyoigharimu Simba Manula ngao
 
Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
msisahau alidaka penati ya djuma shaaban wa yanga
 
Back
Top Bottom