Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,207
Kwa wafuatiliaji wenzangu wa hawa celebrity wetu local nadhani tutakubaliana kwamba kwa upande wa Bongo fleva Diamond na Ally wako on top kwenye social media kuliko wabongofleva wengine!
Tuna historia ya wote wawili hawa tangu mwanzo wao wa game hili mpaka walipo leo, tumejionea juhudi za kila mmoja katika kusaka mafanikio yao ya leo mpaka walipo!!
Wana juhudi kwa kweli hili halina ubishi.
Tukija kwenye hiki kinachoonekana kama beef, hapa ndipo ninapoona kwa biashara za miaka hii za kutengeneza matukio na hasa waliotengeneza hii "biif" bwana Ally ana kila sababu ya KUWASHUKURU kwa sababu hii kitu imemsaidia sana tena sana!!
Si "biif" ya kupelekea vita lakini kwa kweli imesaidia sana kumfanya Ally aendelee kuwapo hewani hata kama yeye mwenyewe hafanyi (au hana uwezo) juhudi kubwa kupigania mafanikio zaidi.
Kwa upana zaidi wanaosaidiwa na juhudi za Diamond ni wengi mno kibiashara ambao kwa nnje wanaonekana kama wanampinga lakini huku wakipiga hela kutoka kwa mashabiki wasiopenda mafanikio ya Mtandale Diamond!!
Hapa kuna bwana Shigongo Eric anayefaidika sana pia, huku Wema pia akiongezea kutunisha mfuko wa bw Eric ambaye kwa sasa aameongeza bidhaa nyingine magazetini inaitwa Zari.
Niwape pole tu wasanii wengine wa Bongo flava muonyeshao juhudi kubwa sana kazini kwenu lakini hazionekani na kila siku ameendelea Ally kulinganishwa na Mondi hata kama mnamzidi kwa mbaali sana.
Pole Jux, pole Ben paul pole pia Barnaba na wengineo.
#Ngonepi.