Uchaguzi 2020 Ally Bananga atia nia ubunge Arusha mjini - CHADEMA

Bananga na Lema hekima itumike, Lema ajikite kujenga chama kama alivyofanya Mnyika. Ni wakati tuachie damu mpya bungeni na jimboni ili kuleta creativity.
 
Lema, Msigwa, Mdee na Sugu tafteni majimbo mapya chukueni mfano kwa zitto alitumikia jimbo kwa miaka 10 akaona ahamie kgm town miaka kumi jimbo moja inatosha, zaidi ya hapo unajijengea mazingira Fulani ya kuchokwa!
 
Lema, Msigwa, Mdee na Sugu tafteni majimbo mapya chukueni mfano kwa zitto alitumikia jimbo kwa miaka 10 akaona ahamie kgm town miaka kumi jimbo moja inatosha, zaidi ya hapo unajijengea mazingira Fulani ya kuchokwa!
Lema mwenyekiti wa Kanda inatosha ....Twende na Bananga ...
 
Twende na Bananga Makamandaaaa
 
Standards zitazotumika pale Lumumba Zinaitwa ITATEGEMEA NIMEAMKAJE .
Sio kweli stds Lema yuko vizuri bungeni kwa hoja hata Ars Alibuni miradi mingi ya maendeleo akakwamishwa na Gambo na setikali!!
Hata Hsp waliizima wadai ni mradi wa serikali na kuzuia wafadhiri!!
Jimbo lenye upinzani serikali inajitahidi saana kufanya maendeleo!!
 
Lema anaua jimbo tu ....twende na Bananga kamanda ...
 
Acha mambo ya ukabila, halafu wewe una nagativity na CDM unasema mbowe na genge lake!!
Wapiga kura Ars sio wachaga pekee, kuna mchanganyiko wa watu.
Lema anakubalika na watu wote kiujumla, waulize machinga, bodaboda, haice, kila mahali Lema anakubalika kasoro kwa CCM na vibaraka wake.
Hao ndo wanampiga vita, tusubiri matokeo ya mkutano wa CDM uamue kwa kura!!
 
Alikuwa anakubalika, sio sass. Infact hata 2015 angeweza kuondolewa ila CCM walifanya kauzembe.
 
Mwishoni huku wakati wa hama hama nahisi kama Ally nae alipotoka kdg hakua strong, bado Lema anahitajjika hapo Arusha. Uyu Bananga atamuuzia best wake Msando Jimbo mapema tu.
Bananga ni msando na msando ni bananga
Bananga mtupu sana kisiasa
Kuna wivu unawasumbua watu kuhusiana na Lema

GO LEMA GO!
Lema ni mzalendo na Mwanasiasa wengine ni wachafuzi
 
Bananga ni msando na msando ni bananga
Bananga mtupu sana kisiasa
Kuna wivu unawasumbua watu kuhusiana na Lema

GO LEMA GO!
Lema ni mzalendo na Mwanasiasa wengine ni wachafuzi
Bananga yuko vzr, anauwezi mzuri tu wa kujenga hoja. Lema awapishe wenzake miaka 10 inamtosha.
 
Bananga alishanunuliwa na ccm kitambo.
Chadema wasifanye kosa kumchagua ubunge.
 
Bananga yupo kimkakati na akishindwa atajiunga ACT ili agawanye kura
 
Akishinda kura za maoni apewe
 
Bananga amekua mwanasiasa bora na Diwani bora sana kwangu kwa kipindi chote cha udiwani. Hongera sana kwake... ndani ya chama anachuana na Lema na akipita kule nje ya chama atapambana swahiba yake Msando.
All the best brother hiyo ndio demokrasia
Kwani msando kashapitishwa?

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…