dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Pia lini ameteuliwa au hzi nafsi Ni za kugombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mke wake Hawa Bananga ndio anamweka mjiniJamaa yule aanalelewa na mke
Kabla ya kupata hi kazi mpya hi tulikuwa nae kila siku Coco Beach kuzuga na chupa kubwa ya maji
CCM wamefanya haraka. Walipaswa kumweka eda kwanza ili bangi za arusha zipungue au zitoke kichwani.Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM) View attachment 2720666
Typical CCM, ndiyo jinsi wanavyoahidiWengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM) View attachment 2720666
Kwani kumshawishi ndio Mbowe keishakubali? Au Mbowe ni dhaifu sana mnaogopa akipewa ofa tu kama ile ya kuramba asali basi huyo, mbioooo!Yuko timamu kweli?
Kwa vile yeye kanunuliwa na familia yake basi anadhani kila mtu anajiuza !Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM) View attachment 2720666
Fisi Maji huyu jamaaaKwa vile yeye kanunuliwa na familia yake basi anadhani kila mtu anajiuza !
Atakuwa ana FAILI MIREMBE HOSPITALWengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM) View attachment 2720666
Kumbe anafugwaHuyu jamaa alikuwa analala na mama yake nyumba moja , hajawahi kujenga wala kujaribu kujitegemea bali anaishi kwa kumtegemea mama yake na mke wake. Aka dume bwege
Ndiyo mkuuKumbe anafugwa
Bila shaka atakuwa kastaafu, kapewa hapo asiweidle tuJamaa yule aanalelewa na mke
Kabla ya kupata hi kazi mpya hi tulikuwa nae kila siku Coco Beach kuzuga na chupa kubwa ya maji