Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

Sema bana utoaji wa habari inabidi uwe makini sana,
M nilimsikiliza Bananga asubuhi, alichosema ni kuwa, yeye bado ana urafiki na viongozi wa Chadema, na hata week inayo anaenda kwenye harusi ya mtoto wa Mbowe,
Akasema ana muadmire sana Mbowe na watu wengine wenye akili sana toka upinzani, akawataja Addo Shaibu, Nondo, Malisa G, Mbowe, akasema yeye akikutana nao wakipiga story huwa pia anawashawish kuhamia CCM, kitu ambacho ni kawaida tu
 
Alishindwa kiongozi wa malaika!! YY atawezaje?
 
Huyu jamaa alikuwa analala na mama yake nyumba moja , hajawahi kujenga wala kujaribu kujitegemea bali anaishi kwa kumtegemea mama yake na mke wake. Aka dume bwege
 
Jamaa yule aanalelewa na mke
Kabla ya kupata hi kazi mpya hi tulikuwa nae kila siku Coco Beach kuzuga na chupa kubwa ya maji
Bila shaka atakuwa kastaafu, kapewa hapo asiweidle tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…