Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Watu majuha kama Bananga ndiyo vitendea kazi vya CCMAlly Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na kumkashifu sana Dk Slaa ikiwemo kuweka videos zake ambazo kiuhalisia hazikua na maana yoyote kwa wakati huu. Ally Bananga hana uelewa wowote na Sheria, Siasa, Diplomasia ila ni bingwa kwenye kubwabwaja ujinga na upumbavu.CCM na UVCCM kama huyu ndio kiongozi wenu kuna siku waasisi wa TANU watafufuka na kuwachoma Moto
Anafugwa na mkewe ambaye ni mmoja wale covid 19Huyo Ally Bananga ni mhuni tu kutoka Ngarenaro-Arusha.
Anaishi kwa janja janja tu,mkewe alikuwa kwenye ile tuhuma ya wizi pesa za jiji Arusha.
Ni mpumbavu fulani tu.
anatokea pande za ngusero pale. ni njaa tu zimempeleka ccmHuyo Ally Bananga ni mhuni tu kutoka Ngarenaro-Arusha.
Anaishi kwa janja janja tu,mkewe alikuwa kwenye ile tuhuma ya wizi pesa za jiji Arusha.
Ni mpumbavu fulani tu.
Toka lini uliona marioo fulloption anakua na akili,huyo analelewa hajui hata bei ya chumviAlly Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na kumkashifu sana Dk Slaa ikiwemo kuweka videos zake ambazo kiuhalisia hazikua na maana yoyote kwa wakati huu. Ally Bananga hana uelewa wowote na Sheria, Siasa, Diplomasia ila ni bingwa kwenye kubwabwaja ujinga na upumbavu.CCM na UVCCM kama huyu ndio kiongozi wenu kuna siku waasisi wa TANU watafufuka na kuwachoma MotoView attachment 2720870