Ally Bananga: Mdude Nyagali anatakiwa kupumzika kwanza, kumpatia kipaza sauti mapema sioni tukimpenda na kumsaidia

Nasikia kauli kama hizo huko Twitter kuwa "hajatukana, kasema ukweli" au "nionyeshe tusi." Huu ni mwendelezo wa jitihada za kufanya lugha zisizo za kiungwana ikiwa ni pamoja na matusi zionekane acceptable. No wonder kuna watu wamekuwa maarufu mtandaoni kwa sababu wanatukana sana.

Kwa mnaopenda matusi, hakuna tusi ambalo ni tusi. Na hiyo kamwe haitobadilika. Hofu yetu sio ninyi waumini wa matusi bali hofu ni jamii kukubali kuwa matusi ni acceptable way of mawasiliano.
 
Huyo Bananga namshauri tu arejee ccm, kwa aina ya siasa zake Za kutaka kuwafurahisha ccm kisa wamempa mkewe ubunge haramu, atapata tabu sana.
 
Dhalimu wa Chattle mlimchukulia hatua gani kipindi anapora fedha za Bureau de change na korosho? Mnatuletea kilio kwa mambo mepesi wakati mlikalia kimya uovu wa yule kiongozi dhalimu?
Two wrongs never make one right Mkuu...ni heri sisi tumesema wewe ulikuwa wapi kumstaki huyo unayemuita "Dhalimu"
 
Two wrongs never make one right Mkuu...ni heri sisi tumesema wewe ulikuwa wapi kumstaki huyo unayemuita "Dhalimu"
Sijawahi kumkubali huyo kiongozi dhalimu hata siku moja. Na kama ni kuanika huo uovu wake, nilifanya hapa hapa jukwaani toka akiwa hai kama ufanyavyo ww kwa huyo Mdude.
 
Acha kutisha watu wewe. Kama wewe upo tayari kuishi hata kama unanyanyasika, wenzako wako tayari kufa kuliko kusujudia waonevu .

Namkumbusha mama ajiandaye kunyolewa na wembe wa Mdude
 
Nani muumini wa matusi? wacha kuropoka, kama unaona kauli ya Mdude ilikuwa na tusi tuwekee hilo tusi hapa tulione, wengi wenu mnaongozwa na hisia sana kwenye reasoning.
 

Kwangu Bananga amekua mwanasiasa bora siku zote
Mungu amtunze sana
 
Mdude is a very ungrateful person
 
Kuna wajinga wanamjaza pumba kua ameshinda kesi kitu ambacho kesho rufaa inaweza katwa ushahidi ukawekwa mezani akala nyundo 30 tukamsahau tukaendelea na mishe zetu za dubei.
 
Hawana jema hao MAMA hata uwalambe miguu ... ni mizigo ya mavi... wanahitaji mtu kama JIWE WAKIWEKA UGOKO ANAWEKA CHUMA
 
Mdude nakushauri tafuta mke tena kule kijijini uoe, uhuru wa bendera tulishapata.Nenda katoe sadaka kanisani kwako umshukuru Mungu. This is Africa and this is Tanzania, ask Kambona if you ...
 
Ana id yake hapa jf!
 
Ni vyema akapumzika kwa muda huu
ambao ametoka korokoloni....naungana na binamu Bananga katika hili

Watanzania ni watu wanafiq sana linapokupata wanakuacha ukipambana na hali yako wao wakiishia kucheka na kukudhihaki.
 
Binamu anaishi kumtegemea mke,apambane n hali yake tu
 
Ni vyema akapumzika kwa muda huu
ambao ametoka korokoloni....naungana na binamu Bananga katika hili

Watanzania ni watu wanafiq sana linapokupata wanakuacha ukipambana na hali yako wao wakiishia kucheka na kukudhihaki.

..bananga angekuwa anamjali mdude angependekeza serikali imlipe FIDIA kwa kumteka, kumtesa, na kumbambikia kesi.

..pia angependekeza waliohusika na udhalimu dhidi ya mdude nyagali wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.
 
..ccm nao wanamtuamia mdude kama mtaji wa kumchochea Rais Samia ili afungulie vyombo vya DOLA dhidi ya chadema.

Cc tindo

Bila hata Mdude kuongea hayo maneno lazima huyo mama angefungulia tu vyombo vya dola. Maana ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Hata cdm wangejinyenyekeza vipi lazima ccm itumie vyombo vya dola maana ndio nguvu yake ilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…