Ally Bananga: Mdude Nyagali anatakiwa kupumzika kwanza, kumpatia kipaza sauti mapema sioni tukimpenda na kumsaidia

Sijawahi kumkubali huyo kiongozi dhalimu hata siku moja. Na kama ni kuanika huo uovu wake, nilifanya hapa hapa jukwaani toka akiwa hai kama ufanyavyo ww kwa huyo Mdude.
Umesahau kama nifanyavyo kwa Mdude na Mwenyekiti wa kudumu.
 
Mbonà unakuwa juha, Hawa wanatetea demokrasia, kosa liko wapi?
na wewe sometimes unakuwa kama sio mtu mzima, mkumbuke fadhila unadhani wakati wa jiwe hakukuwa na mahakama?!..
halafu umetoka juzi tu leo umeshaanza kuongea upumbavu kwa koti la demokrasia wakati unayemsema una uhakika asilimia 100 ndiye aliyekusaidia uwe huru....mkuu Retired man up na uepuke hizi siasa za majitaka wewe uko smart zaidi ya kushabikia huu upuuzi..
asante..
 
Waeleze waelewe wasidhani watu wanavotaka kuanza upya ili jumuiya ya kimataifa ione wao wako huru kutotumia akili! Mbona sisi ni wakosoaji toka jpm hadi leo tupo hakuna wa kutukamata wala nini, sasa huyo dogo anajiona mpambanaji sana kuliko wengine
Anajikuta che Guevara
 
Sawa mtetez wa mdude tumekupat
 
Nyie ndo mnaomjaza kichwa, endeleeni kumpumbaza kwa vijimaneno vyenu visivyo na kichwa wala miguu mtajuta shauri yenu!!
 
Mbonà unakuwa juha, Hawa wanatetea demokrasia, kosa liko wapi?

Tito Magoti hana shida yeyote! Kama yeye hawezi aache wanaume wahangaika aje kula Matunda ya Kazi ya wanaume!
 
Huwezi jua yaliyomkuta gerezani mahabusu huko, he is tramatauzed. Yumkini keshajikatia tamaa ya maisha kwa yaliyomkuta huko alikokuwa anaona hana cha kupoteza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Enzi zile kulikuwa na watu wa kubeba vyombo vya muziki na kuandaa stage hata kama walikuwa na vipaji vya kuimba, ilikuwa hadi viongozi wao wajilidhishe na NIDHAMU yako kwanza ndio wakupe jukwaa la kuimba! Mbinu hii ilitumika sio kwenye band tu hata mafundi ujenzi, wavuvi nk.
Chadema sio kila mwenye "kipaji" lazima apewe jukwaa, wape muda wa kujijenga kinidhamu! Huo ndio utamaduni wetu
 
Malaya ambaye ni muajiriwa wa TISS.
 
Heshimu watu,majina ya watu huandikwa kwa kuanza na herufi kubwa
 
Huwezi jua yaliyomkuta gerezani mahabusu huko, he is tramatauzed. Yumkini keshajikatia tamaa ya maisha kwa yaliyomkuta huko alikokuwa anaona hana cha kupoteza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hapa sasa ndiyo kuna VACUUM ya Party Strategists. CDM ina vijana wasomi wazuri wengi kama akina Jon Mallya, Godlisten Malisa, Tumaini Makene nk.

Kwa nini msiwatumie hao vijana wawawekee mikakati tu ya namna gani Siasa zenu ziendeshwe kipindi hiki cha 2021- 25. Naamini kabisa kama mungekuwa na timu ya MKAKATI basi Mdude mungepanga akapimzike kwanza, apate mental and psychological rehabilitation ndipo maybe baada ya miezi 6 aanze kujishughuLisha na Siasa.

Nawahakikishia CDM Watanzania wamechoka Siasa za matusi na dharau, mukienda hivyo kuomba kura WATAWADHARAU
 
Maccm yana nyimbo zao licha Ukweli kuwa zinawakashifu wapinzani lakini vile vile zinajenga chuki kwenye jamii na kutishia haki ya kuishi!
Lakini kwao na kwa wananchi wasiojitambua hizo nyimbo ni rukhsa!
 
Hakuna kijana hapa labda kuandika ila vitendo zero
 
Mdude hadi sasa ameshapunguza wanachadema zaidi ya elfu moja kwa maneno yake aliyoyatoa na anayoendelea kuyatoa na wasipokuwa makini watapoteza wengi sana .

Maana Jk ndio Master mind kwa sasa hivyo kimya kimya
Mbona akili za wana chadema ni sawa na za mdude? Nakwambia hivii...wanamuona ni shujaa wao, Nelson Mandela
 
Hata mwendazake ailiwahi kutoa kauli kama hii, yuko wapi leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…