Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Maisha bhana ! Muumini Mwinjuma siku hizi anakunywa chai ya vitumbua na maharage kwa mama wawili Mtoni Mtongani !
Anachanganya zege! Ila siyo utani jamaa sauti nzuri ya kuimba anayo! Vipi anakunywa chai ya rangi na ndimu?
 
Kwa hiyo ndugu unataka kusema kuwa ndumba aka tunguli ni ril kabisa?
 
Njoo mtongani kwenye banda la chai la makuti kwa mama wawili saa 2 asubuhi utamkuta .
Duuu. Nakuja..nimchukue hata selfie na. Nimnunulie chai chapati na maini ya kukaanga kubadilisha bekifasti! Hivi kwa kutokea kariakoo nafikaje huko kwa dalaΓ—2
 
Kwa hiyo na kaka Steve Nyerere nae yuko kwa foleni??

Mungu ninusuru ili huyu mjusi ninaemfuga asirukie nyumba ya jirani.
Muombe pia na mjusi anaemfuga jirani yako asirukie kwako.
 
Duuu. Nakuja..nimchukue hata selfie na. Nimnunulie chai chapati na maini ya kukaanga kubadilisha bekifasti! Hivi kwa kutokea kariakoo nafikaje huko kwa dalaΓ—2
Panda Gari za Mbagala mwambie konda akushushe mtoni
 
NAOMBA TU NA YEYE WASIJE WAKAMZOA WAKAMRUSHA KWENYE GHOROFA YA 3 KAMA YULE MTAWA.
 
Hivi hili neno 'kamarade' lina maana gani?

Alifanananishwa na Werrason Ngiama Makanda wa Wenge Musica kwa kupenda kutumia vifaa vizito kuingia ukumbini.

Kuna siku aliwasili ukumbi wa DIamond Jubelee akiwa ndani ya kijiko au bulldozer.

Pia kuna wakti alikuwa akiwasili akiwa ndani ya gari ya wagonjwa au ambulance.

Hivyo watu hivyo wakampa hilo la Le kamarade.
 
Kwa mimi kua na amani tu, nko fit.
Labda wengine uliopita nao.
Hahahaaaaaa Si mchezo 😎😎😎😎😎.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…