Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Ila kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.
Nikifikiria chain ya huu ugonjwa basi unajiona kabisa umo ndani ya chain.
Kwa mimi kua na amani tu, nko fit.
Labda wengine uliopita nao.
 
Shida ya kino Unga wa Kulevya ni mwingi sana kuliko unga wa Ugali
Weekend nilikuwa kule studio kwa shost....tukaamua tuzurure kidogo, asee manyanya na B ni noma! Yaan wanaume wananeng'eneka tuu hadi huruma!

Hata mademu zao micharuko na kuropoka hovyoo no pozz!
 
POLE SANA KAKA,MWENYEZI MUNGU AKUPONYE HARAKA ILI UENDELEE NA MAJUKUMU YAKO.
 
Weekend nilikuwa kule studio kwa shost....tukaamua tuzurure kidogo, asee manyanya na B ni noma! Yaan wanaume wananeng'eneka tuu hadi huruma!

Hata mademu zao micharuko na kuropoka hovyoo no pozz!
We tutake radhi
 
Kwa mimi kua na amani tu, nko fit.
Labda wengine uliopita nao.
Nikifa mimi, wewe utakufa, wa Arusha atakufa, yule rafiki yako wa polisi Mwinjuma atakufa, yule rafiki yako wa Hananasif mume wa mzungu pia atakufa, yule shemeji yako wa kiume pale Nyamala nae atakufa.
So usicheke.
Omba tu Mungu.
Chain ndefu sana tumeitengeneza.
 
Na ni ngumu kuifuta!
 
Wote hao tulupiga dry chama kwani😪😪?
E Mungu tunusuru waja wako,
🙏
 
Nikifa mimi, wewe utakufa, wa Arusha atakufa, yule rafiki yako wa polisi Mwinjuma atakufa, yule rafiki yako wa Hananasif mume wa mzungu pia atakufa, yule shemeji yako wa kiume pale Nyamala nae atakufa.
So usicheke.
Omba tu Mungu.
Chain ndefu sana tumeitengeneza.
Mie kwangu imekatika maana baada ya pale mara kibao tu nei nei ha ha ha ha ha so npo vzr. Ila yule uliefumwa nae mune wa mzungu labda maana sio siku nyingi
 
Back
Top Bottom