Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Kwa mimi kua na amani tu, nko fit.Ila kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.
Nikifikiria chain ya huu ugonjwa basi unajiona kabisa umo ndani ya chain.
Labda wengine uliopita nao.