Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Ha! Ha! Ha! inasemekana tangu amdhulumu mganga wake huko Bagamoyo mambo yote yakaharibika na wake wote wametoka nduki .
Tokea tukio hilo ndipo nilipoamini kwambabaadhi ya wasanii wanatumia ndumba kutuchota tuwapende na wavume,alikuwa juu sana mpaka mganga yule alipojitokeza na kudai kudhulumiwa na muumin na kuhaidi atamfelisha,na kweli mambo ya muumini kuanzia pale yalienda kombo mpaka leo akapotea jumla.
 
Back
Top Bottom