PostGE2025 Ally Hapi: CHADEMA kila siku Katiba Mpya, Katiba Mpya inatuletea Ugali mezani? Wananchi wanataka hoja, siyo malalamiko

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi.

Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo.

Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya.

Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo. Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya. Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

View attachment 3601466
Kwani ninyi mmeleta ugali mezani? Mawazo finyu kweli......Katiba ni sheria inayotuongoza. Kungekuwa na katiba mpya, msingeshinda kwa uongo na kura feki, msingeweza kuiba uchaguzi, ninyi ni wachezaji na refa pia....Muone aibu, wala hamkupaswa muongoze nchi hii wajinga ninyi hamna quality, wezi wa kura ninyi, na kila mtu anawajua. Kumbuka binadamu haishi kwa mkate tu, NINYI MNAWAZA UGALI TU. Kimsingi hamkutakiwa kushinda uchaguzi wowote ule.
 
Mwambieni afatilie mikutano yote mambo yote ya hovyo waliyotusababiahia yanazungumzwa yakiwemo mirahaba ya ajabu kwenye madini kifupi ccm hii ni genge la wapigaji tunapswa kuwafulusha mapema iwezekanavyo tutavuna mabua
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo. Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya. Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

Rudia maneno yako mara kumi kama wewe sii Yuda kwa Watanzania?
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo. Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya. Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

Yaaani huyu anaona kuleta ugali mezani ndio key issue? Katiba mpya is about the future

Kama anataka ugali akalime mahindi
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo. Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya. Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

Katiba mpya ni ya wananchi Sio CHADEMA!
 
Kikubwa amekiri kuwa hakuna TUME HURU YA UCHAGUZI.
Sasa bila tume huru ya uchaguzi wataingiaje madarakani kuongoza nchi ili wafanye hayo mambo mbadala?
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo. Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya. Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

Je hizo sera zenu nzuri zimeleta ugali mezani? Sera zenu nzuri ndiyo Bunge la ulaya limewanyima misaada? Sera zenu nzuri ndiyo zimeua maelfu ya vijana/wazazi/watoto Mo29?
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi.

Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo.

Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya.

Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

Ally Hapi ana kandamiza right left and center vizuri sana aise dah!🤣

well done hapi 👊
 
Safi sana. Huo ndio ukweli katiba mpya siyo Kipaombele cha watanzania kwa sasa. Watanzania wanahitaji ugali mezani pao
Akili ni nywele ila wewe una manyoya..

Ndio maana hata neno kipaumbele unaliita "kipaombele"

Halafu nani alisema ugali ni chakula cha watanzania, wewe ndio msemaji wao ?

Hapa una maoni gani chawa choka mbaya wa buku 7

View: https://x.com/i/status/1989334537357189448

images - 2026-06-05T044341.550.jpeg
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi.

Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo.

Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya.

Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

😂😂😂 CCM ni vilaza, kwani lazima kila mtu azungumzie kilimo.
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi.

Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima, hawazungumzii pembejeo.

Shinyanga hapa ni wakulima wa pamba, huwasikii wakizungumzia pamba. Wao kila siku tuahirishe uchaguzi, wao kila siku katiba mpya.

Sawa, lakini katiba mpya inatuletea ugali mezani? Lakini hiyo tume huru inaleta pembejeo kwa wakulima wa pamba?"

Imagine akili hizi eti ndio za kuwaongoza watanzania 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom