PostGE2025 Ally Hapi: CHADEMA kila siku Katiba Mpya, Katiba Mpya inatuletea Ugali mezani? Wananchi wanataka hoja, siyo malalamiko

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Madogo wengi san wa mbogamboga kichwan ni stroke, katiba Bora ndio msingi sahihi wa maendeleo ya taifa!!
 
Kijana msomi pale apotazama chama cha siasa kama ajira kwake inakua hivi tu
 
Aache visingizio katiba ni takwa la msingi kabisa, hatuwezi kuwa na katiba ya kipuuzi kama iliyopo, tunataka katiba mpya itakayoenda na wakati tuliopo, nchi haiwezi kuburuzwa na watu wachache kwa maslahi binafsi
 
Mkiambiwa waislamu ndiyo wenye kukwamisha taifa mnaleta ubishi na hoja za kianithi ...siku zote waislamu ni maadui wa uzalendo na wazalendo.
 
Kwa nini maCCM wanapenda kuongea huku wakinyoosha madole gumba yao makubwa juu??
Kwa nini machadomoghasia/tecdema yanapenda kuongea yakiwa yamepanua vidole badala ya kupanua akili.
 
usipokuwa principled unakuwa unaenda enda hovyo kama gari bovu. kesho na kesho kutwa Samia akisema tunaingia kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya na yeye kama mjinga ataanza kupigia chapuo wimbo wa katiba mpya.
 
Kama mtu hajui umuhimu wa katiba mpya huyo ni maiti anayetembea
 
Hapi kawa mjinga yeye au chama chake ndio wanatuletea ugali mezani? basi atugawie nyanya anazolima bure.
 
Kwani ina ugumu gani? Kwani iliyopo inaleta ugali mezani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…