Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kwanza jiulize wewe binafsi unaushawishi gani kwenye taifa letu kisiasa?
Chama chako kina ushawishi gani? Mwenyekiti wa chama chako?
Leo hii usimame jukwaani wewe kapuku wa wa baraza la wazazi CCM kuizungumzia Chadema hii ambayo hata wanaCCM wanatambua kuwa ni chama cha ukombozi dhidi ya mafisadi!
Rudi kwenu ualime nyanya hoho na pilipili.