Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yes,Ally Hapi: Kauli ya Mary Chatanda kuwafuta CHADEMA ilikuwa ni tambo tu za kisiasa
View attachment 3652974
Ujenzi wetu wa hoja na pendeleo zetu ni janga jingine. Angalia "statement" hiyo hiyo inaweza ikatiwa chuku sana ikiongelewa na upande mwingine.Sasa mbona wanapingana wenyewe kwa wenyewe?😂
Sasa mbona wanapingana wenyewe kwa wenyewe?😂
Tanzania 🇹🇿 huenda ndio inchi ambayo MUNGU ALIUMBA MASHETANI NA KUYATAWANYA MAENEO MENGINE YA DUNIA MAAANA CCM
Kwamba political statements ndo zinaruhusiwa kuvunja Sheria?Yes,
it was just political statement 🐒
Ila wengine walisema wanapewa ugaidiYes,
it was just political statement 🐒
CCM duu,Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Salum Hapi, amesema kauli ya Mary Chatanda kuhusu kuwafuta CHADEMA ilikuwa ni tambo za kisiasa na haipaswi kutafsiriwa kama yenye nia mbaya. Hapi amesema hakufahamu muktadha kamili wa kauli hiyo kwa kuwa hakuiona video ya Chatanda akieleza, hivyo hawezi kutoa msimamo wa kina kuhusu alichokusudia.
“Nadhani ni tambo za kisiasa tu,” amesema Hapi, akibainisha kuwa kauli hiyo inaweza kuwa sehemu ya ushindani wa kisiasa kuelekea uchaguzi ujao. Amesema anaamini kauli hiyo ilikuwa na lengo la kuonyesha dhamira ya kisiasa ya CCM kushinda majimbo mengi, ikiwemo ya mijini, badala ya kuwa na maana nyingine yoyote yenye nia mbaya.
Soma: Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA
Utu wa kuwa watu?.Kazi na Utu tunasonga mbele
Je,Kukinukisha ...Kweli kweli?!Yes,
it was just political statement 🐒
Kuwa?Utu wa kuwa watu?.
"CCM ni mashetani" nayo ni kauli tuu ya kisiasa!Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Salum Hapi, amesema kauli ya Mary Chatanda kuhusu kuwafuta CHADEMA ilikuwa ni tambo za kisiasa na haipaswi kutafsiriwa kama yenye nia mbaya. Hapi amesema hakufahamu muktadha kamili wa kauli hiyo kwa kuwa hakuiona video ya Chatanda akieleza, hivyo hawezi kutoa msimamo wa kina kuhusu alichokusudia.
“Nadhani ni tambo za kisiasa tu,” amesema Hapi, akibainisha kuwa kauli hiyo inaweza kuwa sehemu ya ushindani wa kisiasa kuelekea uchaguzi ujao. Amesema anaamini kauli hiyo ilikuwa na lengo la kuonyesha dhamira ya kisiasa ya CCM kushinda majimbo mengi, ikiwemo ya mijini, badala ya kuwa na maana nyingine yoyote yenye nia mbaya.
Soma: Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA
Huyo huyo, mgawaji mzuri sana,Kwamba political statements ndo zinaruhusiwa kuvunja Sheria?
Mary Chatanda ndo yule mgawaji alikuwa Arusha?