Ally Hapi, Paul Makonda, Le Mutuz ni kati ya vijana wa CCM ninaowakubali sana

Ally Hapi, Paul Makonda, Le Mutuz ni kati ya vijana wa CCM ninaowakubali sana

Le Mutuz sio kijana, kazaliwa 1963.

Siku hizi. Kijana 18-65! Na ujana ni wewe unavyojichukulia. Ujinga ndo huwafanya always muwe mna ingiza non issues. Age. Chama. Nk. Cheki point then ijadili. Sio Watu. Stupid.
 
Hakika hawa vijana ni mfano wa kuigwa wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa dar kijana machachari paul makonda ,wamekuwa wakinivutia sana pia na kijana william malecela au lemutuz nae ni mfano wa kuigwa na vijana wengi ambao wanalialia kuajiriwa badala ya kujiajiri
819910c28c526fdba8a4742eb5746e02.jpg
Kumbe Makonda Lemutuz,na Ally api wamejiajiri sio?
 
Kwaio Bashite nae amejiajiri pale alipo? Le Mutuz ni kijana? au ndo ukilaza...
 
Back
Top Bottom