Le Mutuz sio kijana, kazaliwa 1963.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe Makonda Lemutuz,na Ally api wamejiajiri sio?Hakika hawa vijana ni mfano wa kuigwa wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa dar kijana machachari paul makonda ,wamekuwa wakinivutia sana pia na kijana william malecela au lemutuz nae ni mfano wa kuigwa na vijana wengi ambao wanalialia kuajiriwa badala ya kujiajiri
Umri sawa na mizengo pindaLe Mutuz sio kijana, kazaliwa 1963.
Post moja anaelezea ana mke, nyingine anasema hana mke anaishi ghetto mwenyewe, JF ni hatari sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]UTAKUWA CHAMA KIMOJA CHA KINA LEMUTUZ aka le dolez